Sawa.Hawakurekebisha pia sehemu kubwa ya mfumo wa kikoloni wenye kuwezesha mabaya kutendeka na walijenga mfumo mwingine wa kumfanya mtu mmoja kuwa mungu mtu.
Mimi nahisi sio jiwe, kosa nila Mzee wa Msonga .Tutaongea yote ila jiwe ndiye chanzo cha haya yote na ndiye aliyetufikisha hapa tulipo leo. Jini akishatoroka kwenye chupa ni vigumu sana kumrudisha, ni rahisi sana kuboma kuliko kujenga.
Kwa mema yote na kwa mabaya yote akumbukwe.
Mkuu tutumie akili zetuKipi kimejaribiwa kurekebishwa na nani huyo anayerekebisha? Kama kumbe kuna misingi ya ukatili basi sasa kwanini tuliaminishana kwamba kufa kwa Jiwe ndio mwisho wa ukatili na tukafurahia? Membe alikuwa wa kwanza kusema mauwaji hayato endelea tena kisa Jiwe kafa.
Basi yatupasa kumsaka huyo jini aliyetoroka ili tumrudishe kwenye chupa yake,☹️☹️Tutaongea yote ila jiwe ndiye chanzo cha haya yote na ndiye aliyetufikisha hapa tulipo leo. Jini akishatoroka kwenye chupa ni vigumu sana kumrudisha, ni rahisi sana kuboma kuliko kujenga.
Kwa mema yote na kwa mabaya yote akumbukwe.
100% upo Sahihi. Mwingine aliyechangia kwa kiwango kikubwa na hatajwi sana ni spika Ndugai. Anamchango mkubwa sana katika kubomoa demokrasia hapa nchini.Tutaongea yote ila jiwe ndiye chanzo cha haya yote na ndiye aliyetufikisha hapa tulipo leo. Jini akishatoroka kwenye chupa ni vigumu sana kumrudisha, ni rahisi sana kuboma kuliko kujenga.
Kwa mema yote na kwa mabaya yote akumbukwe.
Kwangu mimi aliyetufikisha hapa ni Nyerere. Aliona mapungufu ya katiba lakini alifunika kombe mwanaharamu apite.Tutaongea yote ila jiwe ndiye chanzo cha haya yote na ndiye aliyetufikisha hapa tulipo leo. Jini akishatoroka kwenye chupa ni vigumu sana kumrudisha, ni rahisi sana kuboma kuliko kujenga.
Kwa mema yote na kwa mabaya yote akumbukwe.
Mazuri gani mkuu hayo niliyo yazungumzia?Inasaidia nini ukiyakumbuka hayo mazuri ukiwa huna nia ya kuyaendeleza?
Kwanza jaribu kuelewa kwamba kuna kutofautiana mitazamo, sasa kauli za kwamba kwangu mimi naona mambo yapo sawa sijui hata unataka kukusudia nini?Mkuu tutumie akili zetu
Achana na habari za “tuliaminishwa” au sijui “Membe alisema”
Ina maana wewe huoni yanayotokea?..... muendelezo wa kuteka na kupotezana?
Huoni watu wakijaribu kupigania katiba mpya ili kukomesha haya?
Wakipigania No reform No election ili kuondoa umwinyi na udikteta kwa viongozi kujichagua?
Au kwasababu kwako wewe unaona mambo yote yako sawa ndio maana huoni hata wanaojaribu KUREKEBISHA wakifanya hivyo?
Mwalimu hakuutaka mfumo wa vyama vingi. Alilazimika kuingiza nchi kwenye huo mfumo kwa sababu ya shinikizo la jamii za kimataifa kwa wakati ule. Ndio maana akasimika mfumo wa vyama vingi kwenye maandishi tu lakini kiutendaji bado katiba ni ya chama kimojaKwangu mimi aliyetufikisha hapa ni Nyerere. Aliona mapungufu ya katiba lakini alifunika kombe mwanaharamu apite.