Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Kabisa, alikuwa na nafasi ya kurekebisha hayo ya Katiba ila hakufanya hayo Ili kukilinda chama chake alichokiasisi.Na wakati anang'atuka alikiri wazi kuwa katiba ni mbovu. Kwa kipindi hicho angeweza kuweka katiba bora pasipo kizuizi ndani ya Chama. Tunayoyaona sasa ni matokeo ya uzalendo kwa Chama kuwa juu ya uzalendo kwa nchi - kitu alichoasisi yule mzee.
Anyway kazi ipo kwetu raia kupambana kupata Katiba tunayoitaka.