Pre GE2025 Katikati ya matangazo ya 'Live' ITV Mgeni aomba watu wote studio wasimame kumuombea Rais Samia, Watangazaji wapata kigugumizi kumzuia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mnaweza ita chawa kumbe mwamba anajuwa yanayo endelea kilengeni na hakuna anaye juwa well mengi tutasikia ila neno la Mungu no timilifu. Amen
 
Uchawa na ukosefu ubunifu mbali na kuishiwa na kujipendekeza mwanangu.
 
  1. Huyo aliyecheka watamtafuta
Hawana cha kumfanya na hakuna kosa lolote alilofanya maana aliyeamuru hayo yafanyike hakuwa na uhalali wa kushurutisha watu kufanya hayo, hiyo ni alert next time hizi Television kuwa dhibiti chawa wa Aina hii kutekeleza mambo Yao ya faida zao binafasi while for the expense ya taasisi na washiriki wa kipindi husika.

Vetting is necessary!!
 
Sasa hawataki Rais aombewe ili ashindwe kutimiza majukumu yake? Wakamate wote sukuma ndani. Rais ni wa kuombewe kila siku kama dozi ya dawa full stop na wote semeni amina,
kodi yetu inatosha kuwalipa yeye ba mabodyguard wake , je yeye lin kawaombea watanzania ambao ni maboss zake
 
 

Attachments

  • images - 2025-02-28T165906.781.jpeg
    12.5 KB · Views: 1
Ni aibu kusema mimi ni Mtanzania
kwa maujinga kama haya yanayoendelea nchini!
 
Huu sasa ni ugonjwa mpya nchini.
Wenye akili visoda wamefanikiwa sana kwenye hili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…