Pre GE2025 Katikati ya matangazo ya 'Live' ITV Mgeni aomba watu wote studio wasimame kumuombea Rais Samia, Watangazaji wapata kigugumizi kumzuia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwahy watu wanalumbana kisa simba na Yanga afu mnaiita hoja?

Anyway, hii kusifiasifia n upumbavu mkubwa.
 
Mambo ya goli la mama

ova
Zamani katika gazeti la Mfanyakazi kulikuwa na ki segment cha "Amini Usiamini".

Nilikuwa napenda sana kukisoma.

Kilikuwa kinatupa habari za vituko na maajabu ambazo ukiambiwa unaweza usiamini, lakini, amini usiamini, ni kweli.

Habari hizi zingestahili kuwa katika ile safu ya "Amini Usiamini".
 

kosa liko kwa Itv wenyewe, kushindwa kujua ni watu gani wenye sifa za kualikwa studio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…