Salaam, shalom!!
Nitumie fursa hii kuwatia moyo ndugu zangu Watanzania wenzangu kuwa, haya tunayoyapitia ni ya Muda tu, kama ambavyo Kuna usiku mnene, Giza Totoro, tukumbuke kuwa Giza ni la muda tu, KUTAPAMBAZUKA na Nuru itaonekana tena,
Kodi zetu ndizo zinatumika kuwalipa waovu Kuteka, kuumiza, kuua Watanzania wasio na hatia,
Yupo Mungu aliyetuumba na kutupa Nchi hii nzuri niipendayo TANZANIA Ili tuishi Kwa Amani, UOVU umepanda na kuingilia madirishani ukitafuta wenye HAKI wasio na hatia, ilikuwa wanaume ndio wanaotekwa kuuwawa na kupotea, sasa ni mama zetu, nani wa kutunza na kutulea watoto ikiwa mama anatekwa, kuumizwa na kuteswa?
Nichukue fursa hii Leo Jumapili kuinua MIOYO ya ndugu zangu Watanzania wenzangu tuendelee kumshukuru na kumsifu Mungu hata katika nyakati hizi ngumu, Mungu ni mwaminifu na WA HAKI, atajilipizia kisasi,
Na wote tuseme aamin.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni.