Katoa mimba yangu naomba msaada wa kisheria

Katoa mimba yangu naomba msaada wa kisheria

Basi usijipendekeze sana kusema mimba yako wakati huna hata hakika na hilo na huwezi kulithibitisha.

Tafuta mwingine umtie mimba uhakiki DNA mtoto akizaliwa.

Kwani huna uwezo wa kutia mimba nyingine?
Hapo mwishoni ndo kwenye Point ya msingiii analilia mimbaa utadhani aliambiw ni tasaaa sasa hii kabahatishaaaa akaona eehee hapa hapaaa.. Kumbe mwanamke ukute alimuokotaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kajilia helaaa mwisho wa siku kassm imetokaaaa
 
Analia mwanawe kauawa kabla hajazaliwa.

Wakati hata hajui kama mimba ni yake, au hata kama ilikuwapo kweli.
 
Baba david,

sometime the one you seek advise to, cannot provide any because of the discreprancy in the story you deliver.

Hatujui ni mke umesema ni binti.

Kuna kipindi kirefu unakuja kupewa taarifa mimba imetoka!

Hata wengi waliokushauri wamekuuliza hiyo mimba yako kweli?

sababu ya stori tu, huwezi shauri mtu stori ambayo huielewi.

Nafikkri umeelwa point mkuu.

Makes sense.
 
Anyway hebu tufanye mimba haikuwa yangu. So kama sio yangu anaruhusiwa kuitoa? Note: Hakukuwa na sababu za kitabibu.
 
Wanasheria na mawakili mlioko humu chondechonde wakuu. Nisaidieni tafadhali.
Upewe msaada gani?

Kutoa mimba ni kosa la jinai

Jamuhuri ndiye hufungua kesi za makosa makubwa ya jinai kama kutoa mimba.

Wewe mlalamikaji unachoweza kufanya ni kuwa shahidi wa kwanza upande wa Jamuhuri ili uisaidie mahakamani kwa kutoa ushahidi usio na shaka kwamba mimba ilitolewa.

Wewe umekiri hapa kwamba huna uhakika iwapo mimba ilitoka au aliitoa.

Ukienda na ushahidi kama huu kwamba huna uhakika kwamba mimba ilitoka au ilitolewa basi kesi inaishia ngazi ya upelelezi kwa kukosa ushahidi wa kuipeleka kwa DPP ikafunguliwe jalada.

Lengo lako la kwenda mahakamani ni lipi?

Shika jembe ukalime. Siyo lazima uende mahakamani.
 
Anyway hebu tufanye mimba haikuwa yangu. So kama sio yangu anaruhusiwa kuitoa? Note: Hakukuwa na sababu za kitabibu.
Mpe mimba nyingine mkuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] au ndo pisi kali ilokuonea huruma mimba ikaingia bahati mbayaaa.. baada ya kujua choka mbaya akachomiaa.
 
Utaanza na jinai na hapo ni serikali wenyewe ofisi ya mwendesha mashtaka wa serikali, na wakiona hawana interest wanaifuta.

Ukifanikiwa hiyo jinai ndio sasa utakuja kwenye madai ambapo utasimama wewe sasa dhidi ya huyo mtu wako.

Nyaraka muhimu kuwa nayo ni kadi ya kliniki, ili ikusaidie kuonesha alikuwa mjamzito na ujauzito huo baba ni wewe, kama hauna basi jua hapo kushinda ni 30% asilim8a chache sana hizo.

Na hapo ili ufike kwa mwendesha mashtaka utapitia polisi sasa hapa napo utakutana na kizingiti (kukikosekana wepedi).

Nawaza uende kufungua Mahakama ya mwanzo ili ushitaki mwenyewe lakini nakosa jinai ya kuiweka vizuri ili Mahakama ya mwanzo iwe na mamlaka. Labda hadi nitulie ja kupitia sheria vizuri

Ila hii ndio picha ya haraka Mkuu.
 
Kuna binti alikuwa na ujauzito wangu. Alitarajiwa kujifungua December hii (makadirio yalikuwa tar. 7).

Nimeona muda unazidi kwenda kimya nikauliza akaniambia mimba ilitoka mwezi wa 9. Sina uhakika ilitoka kweli au alitoa.

Nafikiri kwenda mahakamani kuiomba mahakama iombe taarifa kutoka hosp iliyomhudumia (amesema alikwenda hosp ya serikali) ili nijiridhishe kutoka kwa wataalamu waliomuhudumia kama kweli mimba ilitoka au alifanya abortion. Ikiwa alifanya abortion nakusudia kumshitaki.

Naomba msaada wa mawazo yenu nijue namna ya kushughulika na hili swala.
Sasa,ww nenda ukamshitaki, alafu bint aseme mimba imeharibika na atoe usibitisho mwisho aseme aliniahidi kuniowa lkn hakuniowa uweno gharama utakazo mlipa huyo bint

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan umeishiw mbegu

Hukuw hata unatoa huduma na kuw ukaribu , unatak uzalshe tuu bint wawatu kienyeji
 
Utaanza na jinai na hapo ni serikali wenyewe ofisi ya mwendesha mashtaka wa serikali, na wakiona hawana interest wanaifuta.

Ukifanikiwa hiyo jinai ndio sasa utakuja kwenye madai ambapo utasimama wewe sasa dhidi ya huyo mtu wako.

Nyaraka muhimu kuwa nayo ni kadi ya kliniki, ili ikusaidie kuonesha alikuwa mjamzito na ujauzito huo baba ni wewe, kama hauna basi jua hapo kushinda ni 30% asilim8a chache sana hizo.

Na hapo ili ufike kwa mwendesha mashtaka utapitia polisi sasa hapa napo utakutana na kizingiti (kukikosekana wepedi).

Nawaza uende kufungua Mahakama ya mwanzo ili ushitaki mwenyewe lakini nakosa jinai ya kuiweka vizuri ili Mahakama ya mwanzo iwe na mamlaka. Labda hadi nitulie ja kupitia sheria vizuri

Ila hii ndio picha ya haraka Mkuu.

Asante sana mkuu. Naomba ukitulia ukaona lingine linaloweza kuwa na msaada usisite kuniambia hapa ama PM
 
Asante sana mkuu. Naomba ukitulia ukaona lingine linaloweza kuwa na msaada usisite kuniambia hapa ama PM
Office ya taifa ya mashitaka kwanza itataka kujua,kua unataka kujua taarifa za Mke wako wa ndoa ambayo hiyo ndoa ipo hadi kwa Msajili wa ndoa,au unataka kujua taarifa za mchepuko wako!!? Na lazima uwe muwazi,ukificha taarifa imekula kwako!!
 
Hii nchi inasapoti uzazi wa mpango.

Means inasapoti matumizi ya kondomu.

Means inasapoti abortion
Penal Code inakataza kutoa mimba, isipokuwa pale ambapo madaktari wanafanya vile kwa ajili ya kuokoa maisha ya mama. Mleta uzi angeanza kumhoji demu au ndugu wa huyo mazingira ya hiyo mimba kutoka kabla ya kwenda popote.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Mahakama ikurudishie iyo mimba au una taka kumfunga ..kua specif ili usi poteze mda wa mahakama
 
Back
Top Bottom