Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo mwishoni ndo kwenye Point ya msingiii analilia mimbaa utadhani aliambiw ni tasaaa sasa hii kabahatishaaaa akaona eehee hapa hapaaa.. Kumbe mwanamke ukute alimuokotaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kajilia helaaa mwisho wa siku kassm imetokaaaaBasi usijipendekeze sana kusema mimba yako wakati huna hata hakika na hilo na huwezi kulithibitisha.
Tafuta mwingine umtie mimba uhakiki DNA mtoto akizaliwa.
Kwani huna uwezo wa kutia mimba nyingine?
Analia mwanawe kauawa kabla hajazaliwa.Hapo mwishoni ndo kwenye Point ya msingiii analilia mimbaa utadhani aliambiw ni tasaaa sasa hii kabahatishaaaa akaona eehee hapa hapaaa.. Kumbe mwanamke ukute alimuokotaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kajilia helaaa mwisho wa siku kassm imetokaaaa
Baba david,
sometime the one you seek advise to, cannot provide any because of the discreprancy in the story you deliver.
Hatujui ni mke umesema ni binti.
Kuna kipindi kirefu unakuja kupewa taarifa mimba imetoka!
Hata wengi waliokushauri wamekuuliza hiyo mimba yako kweli?
sababu ya stori tu, huwezi shauri mtu stori ambayo huielewi.
Nafikkri umeelwa point mkuu.
🤣🤣😎Kamata peleka kwenye vyombo vya sheria akifinywa atawataja alioshirikiana nao.
😂😂🤣 Ila watutumia condoms au zinakubana?
Kwamba kama hamko kwenye terms zozote ni Bora kiumbe auwawe ?! Au sijaelewa vyema?!Yani umeona muda unazidi kwenda? Maana yake hamna ukaribu, ulitaka huyo binti akuzalie ili iweje?
Upewe msaada gani?Wanasheria na mawakili mlioko humu chondechonde wakuu. Nisaidieni tafadhali.
Mpe mimba nyingine mkuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] au ndo pisi kali ilokuonea huruma mimba ikaingia bahati mbayaaa.. baada ya kujua choka mbaya akachomiaa.Anyway hebu tufanye mimba haikuwa yangu. So kama sio yangu anaruhusiwa kuitoa? Note: Hakukuwa na sababu za kitabibu.
Sasa,ww nenda ukamshitaki, alafu bint aseme mimba imeharibika na atoe usibitisho mwisho aseme aliniahidi kuniowa lkn hakuniowa uweno gharama utakazo mlipa huyo bintKuna binti alikuwa na ujauzito wangu. Alitarajiwa kujifungua December hii (makadirio yalikuwa tar. 7).
Nimeona muda unazidi kwenda kimya nikauliza akaniambia mimba ilitoka mwezi wa 9. Sina uhakika ilitoka kweli au alitoa.
Nafikiri kwenda mahakamani kuiomba mahakama iombe taarifa kutoka hosp iliyomhudumia (amesema alikwenda hosp ya serikali) ili nijiridhishe kutoka kwa wataalamu waliomuhudumia kama kweli mimba ilitoka au alifanya abortion. Ikiwa alifanya abortion nakusudia kumshitaki.
Naomba msaada wa mawazo yenu nijue namna ya kushughulika na hili swala.
Utaanza na jinai na hapo ni serikali wenyewe ofisi ya mwendesha mashtaka wa serikali, na wakiona hawana interest wanaifuta.
Ukifanikiwa hiyo jinai ndio sasa utakuja kwenye madai ambapo utasimama wewe sasa dhidi ya huyo mtu wako.
Nyaraka muhimu kuwa nayo ni kadi ya kliniki, ili ikusaidie kuonesha alikuwa mjamzito na ujauzito huo baba ni wewe, kama hauna basi jua hapo kushinda ni 30% asilim8a chache sana hizo.
Na hapo ili ufike kwa mwendesha mashtaka utapitia polisi sasa hapa napo utakutana na kizingiti (kukikosekana wepedi).
Nawaza uende kufungua Mahakama ya mwanzo ili ushitaki mwenyewe lakini nakosa jinai ya kuiweka vizuri ili Mahakama ya mwanzo iwe na mamlaka. Labda hadi nitulie ja kupitia sheria vizuri
Ila hii ndio picha ya haraka Mkuu.
??? [emoji2370][emoji1787]
Office ya taifa ya mashitaka kwanza itataka kujua,kua unataka kujua taarifa za Mke wako wa ndoa ambayo hiyo ndoa ipo hadi kwa Msajili wa ndoa,au unataka kujua taarifa za mchepuko wako!!? Na lazima uwe muwazi,ukificha taarifa imekula kwako!!Asante sana mkuu. Naomba ukitulia ukaona lingine linaloweza kuwa na msaada usisite kuniambia hapa ama PM
Penal Code inakataza kutoa mimba, isipokuwa pale ambapo madaktari wanafanya vile kwa ajili ya kuokoa maisha ya mama. Mleta uzi angeanza kumhoji demu au ndugu wa huyo mazingira ya hiyo mimba kutoka kabla ya kwenda popote.Hii nchi inasapoti uzazi wa mpango.
Means inasapoti matumizi ya kondomu.
Means inasapoti abortion
Mimi ni mwanadamu CAPTORHINOMORPHS nimewahi kuwa na makandandokando hapo zamani za kale.Hiyo experience hiyo[emoji15]
Mimi ni mwanadamu CAPTORHINOMORPHS nimewahi kuwa na makandandokando hapo zamani za kale.
Usishangae sana.