Katoa onyo kali kwa cabinet na CCM: Rais anawekwa na Mungu, msianze kampeni. Ni mpango wake kusimika mtu wake 2030

LUCHESI

Member
Joined
Nov 18, 2025
Posts
72
Reaction score
197
Kwa wale walioshindwa ku stomach spichi yote ya Samia jana wakamzima katikati, Rais kaongelea 2030, from nowhere! Kaanza mbio za 2030 wakati watu hatujamaliza ma mauaji ya Oct 29, wala yeye hajui hatima yake na ICC, na Gen Z, na EU, au na wanamgambo wowote waliouliwa watoto na wake zao. Kashajisahau.

Rais kasema amewakanya cabinet na CCM kwamba yeyote anaejipanga Urais 2030 ole wake.

Kasema akitaka akae pembeni na serikali yake, kwa saab Rais anatoka kwa Mungu. Urais hujiandai. Na waliojiandaa kwa mipesa na kila kitu hawakuwa!

Fast forward kwenye kampeni zake Sep 2025. Kikwete akasimama kujitetea alivyohondomola mchakato wa CCM. Akasema utaratibu wa CCM kumpa Samia tiketi upo siku zote, ni utaratibu mzuri na uendelee, kwa nn ubadilishwe kwa Samia ? YANI MSTAAFU KUCHAGUA MRITHI.

Samia nae hili limemuingia kichwani. Ni zamu yake kupachika msukule wake ambae atamlinda yeye na mali zake na za kijana wake, na atampeleka puta kama anavyopelekwa yeye na JK.

Ridhiwani , Mchengerwa, Mwigulu, Mwanu types.

Tusubiri Mungu aamue 2030!

Mungu hapa ni yeye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…