Pre GE2025 Katoliki na KKKT yawakataa Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia Uchaguzi, sasa inasubiriwa BAKWATA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Vipi ile siku aliyopindua matokeo je🤪
Hii wala haikunishangaza, wote tulijua alikuwa na upande na hakuwa huru. Ila kitendo cha kuja kuchukua fomu ya kuwania kuteuliwa kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM kilinishangaza na kunisikitisha sana kama mtu ninayependa demokrasia.

Ilikuwa ni dharau ya hali ya juu sana kwa wazanzibari na wapenda demokrasia. Ulikuwa ni ubandidu wa hali ya juu sana.
 
BAKWATA watakuja kuwapinga hao wote, sio wa kuwatumainia kwenye maslahi ya umma.
Ulisikia wapi BAKWATA wakafanya tofauti na Serekali hawawezi kwenda njia moja na TEC yaan hao wawili ni km Chui na Paka hawafanani kimisimamo
 
Bakwata ni mojawapo ya jumuiya za ccm, usiwategemee sana.
 
Wanataka kutoa kwenye reli Ili matamanio Yao yapite
 
Bakwata ????!! 😅
Hata TEC hawajaongea kwa dhati kabisa !!😅🙏🙏
Ngoja Tusubiri tuone !!
 

Hilo ni baraza la maaskofu. Wametoa maoni yao Kama baraza sio kwa niaba ya wakatoliki. Punguza ujuaji
 
Hata DP World walipinga ila muarabu kapewa. Kelele za chura ........
 
Bakwata ni ndio mzee as long as rais ni kutoka nyota na mwezi
 
BAKWATA walishaunga mkono msimamo wa Samiah , wa kuwa na wakurugenzi wa uchaguzi.
 
Chuki zako dhidi ya TEC haziwezi kuwatikisa. Je, tangu uzaliwe hujawai kukutana na neno "uwakilishi"? Unataka saini za waumini? Wewe ni wa kuhurumia.!! Waumini wapi wanaotaka wakurugenzi wa almashahuri waendelee kuwa wasimamizi wa uchaguzi? Wewe una saini za hao wahumini waliokubali?

Ifike wakati Watanzania tuondokane na fikra za kinafiki. Madhehebu ya dini ni sehemu ya jamii na waumini au wafuasi ni wananchi. Inakuaje nogwa kutoa maoni? Mara ngapi tumeona makundi mbalimbali ya dini yakisifia serikali? Au kusifia ruksa lakini kukosoa au kutoa maoni ndiyo jinai?
 
Kama wewe kafiri hukijui kitabu chako sina muda wa kukuelezea

Huna kitabu, umebakia kuropoka. Nimekwambia tu wewe endelea kufanya dhihaka, mwisho wako sio mzuri. Hata hapo ulipo haupo salama.
 
Bakwata wanachokijua wao Mufti na wenzake kupewa hela wagawane basi hayo mengine hayawahusu! Nakumbuka wakati wa Magu alikwenda kukagua ujenzi wa msikiti uliokuwa ukijengwa na mfalme wa Moroco akawapa viongozi wa Bakwata milioni 30 na kuwaambia watajua wenyewe namna ya kuzitumia hata wakitaka kunywa soda watajua wenyewe basi walifurahi sana bila kufikiria kwamba wamedharauliwa sana kwa kuonekana ni watu wasio na fikra wala malengo yoyote! Wale watu ni wajinga sana na wanatutia aibu sana Waislam.
 
BAKWATA ni kitu gani bwana?

Nchi hii sauti ikitoka kwa hao tu i.e Roman Catholic na Lutheran Church au Wakristo kwa ujumla wake ktk ishu yoyote inayohusu nchi, basi game inakuwa imekwisha bila kujali masalia mengine kama BAKWATA au mapagani yatasema nini...!
 
Usishangae hilo, kamishna wa polisi au afisa wa jw anastasfu leo, mwezi ujao anagombea cheo cha kisiasa kupitia ccm
Hii nchi imeharibika sana, hakuna kitu tunaweza kufanya, nawahurumia wanaohangaika kutoa maoni yao wakidhani yatabadilisha kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…