Pre GE2025 Katoliki na KKKT yawakataa Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia Uchaguzi, sasa inasubiriwa BAKWATA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lazima watoe boko.
 
Ata wabunge hawatuzi wananchi ila ajabu hawakuja ata kutuuliza kama IGA tunaitaka au lah! Wao wemeenda kupitisha tu haijalishi ina nini huku wakijitapa kuwa jambo la mama hakuna wa kupinga!
 
BAKWATA watakuja kuwapinga hao wote, sio wa kuwatumainia kwenye maslahi ya umma.
Tangia lini hao the so call tec au kkkt wakawa na maslahi ya umma??

Labda umma wa WAKRISTO
 
Niliikatia tamaa hii nchi ile siku Mzee Jecha alipochukua fomu ya kugombea urais kule Zanzibar kwa tiketi ya CCM!
Hatari sana. Na wakamkata kama yeye alivyomkata rais mteule mzee Seif.
 
Acha ujinga mkuu. Pale bungeni hawafiki hata watu 500 wanawakilisha mawazo ya watanzania milioni 60+.

Ulishawahi weka sahihi yako?
 
Bakwata bado wanashangaa inakuwaje nchi kuongozwa na mwanamke kinyume na maagizo ya Koran!
 
BAKWATA wao wanateswa na udini hawatafanya chochote
 
Ungejua hao hao wachache ndio wanaoiongoza dunia wala usingebeza hivyo
 
Mwenyekiti wa Tume anachaguliwa na Rais, DED anachaguliwa na Rais halafu unaenda kushiriki uchaguzi kuikataa CCM.
 
Mleta mada yaani kobazi wapinge mamlaka? Wale ukiwapa ubwabwa na juisi wanasahau kila kitu.
 
Niliikatia tamaa hii nchi ile siku Mzee Jecha alipochukua fomu ya kugombea urais kule Zanzibar kwa tiketi ya CCM!
Alidhani ataishi milele kwa dhuluma aliyemfanyia maalim seif, wapo wote ahera anafanyiwa cross examination na Seif , Jecha to hell with you wlokutumia wapo wanadunda wewe umetangulia mbele ya haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…