Katoliki na Walokole ndio walio wengi nchini kuliko madhehebu mengine ya Dini mbalimbali hivyo wajiepushe na Siasa!

Kwahiyo wao wanyamaze ile kakikundi kadogo kanako linyonya taifa kaendelee tu ama ipi maana yako,je wewe ni sehemu ya hako kakikundi kanakopinga mageuzi yenye manufaa kwa taifa na watu wake?
Ni mmoja wa hako kakundi na neno lake tukuka ni 'gentlemen'
 
Wanawapumbaza wachache muda wote lakini hawawezi kutupumbaza sote kwa muda wote
 
ingependeza vyombo vya usalama viachwe vifanye majukumu yake ambayo kimsingi yana afya kwa taifa
Kukandamiza haki na kubambikia watu kesi za uongo ndio majukumu ya hivyo vyombo vya CCM?
 
Neno HAKI ni adimu sana midomoni mwa waovu.
Neno amani wanalo muda wote tena wanalihubiri nyuma ya mikamera

Walivyo wajinga hawajui kwamba mtu anaweza akaamua kunyamaza tu kwa fikra zake lakini kunawengine hunyamazishwa

Swali je hao walionyamaza watendelea kunyamaza hadi lini

Wao wakiona watu wamenyamza basi ndiyo amani wanataka waendelee kunyamaza


Silence surrenders public responsibilities
 
Haya sasa ! Ngoja Tusubiri tuone hiyo Locuta causa finita reaction yake miongoni mwao au kwa baadhi yao πŸ™ŒπŸ€·β€β™‚οΈπŸ˜Ž. !
 
Papa amefariki πŸ˜ͺπŸ˜ͺπŸ˜ͺπŸ˜ͺπŸ˜ͺ
 
Wapentekoste huwa hawajihusishi kutoa matamko ya kisiasa. Lini umesikia maaskofu wa FPCT, TAG, EAGT au umoja wao wa CPTC wametoa warakaka wa kisiasa?
Bado hawana ushawishi wa kitaifa kama Anglican, Catholic na Lutheran. Wakijaribu wanafungiwa chap. Kakobe alijaribu akapelekewa TRA 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣. Nchi ina vimbwanga hii yaani.
 
CCM oyee.
Watu waliposema kidumu CCM , Hamkuelewa ? Chama Cha Milele. Unakichukia huku unakipenda na kukufurahisha .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…