Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Ni mmoja wa hako kakundi na neno lake tukuka ni 'gentlemen'Kwahiyo wao wanyamaze ile kakikundi kadogo kanako linyonya taifa kaendelee tu ama ipi maana yako,je wewe ni sehemu ya hako kakikundi kanakopinga mageuzi yenye manufaa kwa taifa na watu wake?