Kanisa halijawahi Kaa kimya hoja yako haina mashiko. 2018 ulikuwa hujazaliwa?Wanaukumbi.
Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.
Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.
Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .
Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.
Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Wanaukumbi.

Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utaw
Kubaka haki ya raia kuchagua Viongozi wanaowataka ni sawa na kupindua Serikali. Waachieni wanaotetea maslahi ya wengi kama mnahitaji kuendelea kuongoza Taifa hiliKanisa halijawahi Kaa kimya hoja yako haina mashiko. 2018 ulikuwa hujazaliwa?
Soma sura ya waraka huu 2018.
Mimi ni mkataliki ila hili kanisa sio kabisa aiseeWanaukumbi.
Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.
Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.
Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .
Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.
Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Ni kweli tupuWanaukumbi.

Tunazungumzia wakatoliki mkuuMimi ni mkataliki ila hili kanisa sio kabisa aisee
Hoja ya kijinga, kutoka kwa mtu mjinga. Wakati Magufuli anaonywa kupitia matamko ya aina hii hii ulikuwa hujazaliwa, au ndiyo ulikuwa unanyonya? Au na yeye alikuwa ni wa dini yenu?Wanaukumbi.
Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.
Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.
Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .
Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.
Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Mfano askofu gani na waraka gani waliutoa?lakini Wakatoliki haohao walibwabwaja dhidi ya magufuli ambaye ni mkatoliki mwenzao hadi baadhi ya maaskofu kudaiwa kuwa sio raia
Hatukusikia uamsho waliposota wakifungua mdomo!Wanaukumbi.
Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.
Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.
Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .
Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.
Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Kunyamaza siyo amani ni kusalimu amri majukumu ya kijamiiWanaukumbi.
Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.
Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.
Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .
Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.
Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Warundi na wageni wanahubiri mpasuko ndani ya taifa,pamoja na chawa wa ccm Tanzania lioneni hili na kulikemea ipasavyo tukianza kubaguana kwa manufaa ya ccm ni hatari kuliko waliko tufikisha ccm.Wanaukumbi.
Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.
Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.
Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .
Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.
Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Tatizo ni njaa imevuruga ubongo wako, sio makosa ya catholic!Mimi ni mkataliki ila hili kanisa sio kabisa aisee