Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnasema sana

Wanaukumbi.

Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.

Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.

Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .

Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.

Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Awamu ijayo tunataka Rais Mlokole
 
Wee ima ni muongo au msahaulifu. Jikumbushe Niwemugizi alivyotishiwa kunyang'anywa uraia na jiwe. Kwani, hapa alikuwa muislam mwenzako mwanangu? Give the devil its due mwanangu ili uheshimike na kueleweka mbali na kutushawishi.
 
Wanaukumbi.

Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.

Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.

Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .

Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.

Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
1000111009.jpg
 
We ni mgeni wa historia naona. Kuna watu wamkemea Magufuli kama kanisa Katoliki, hadi nyaraka wakatoa. Na mpaka serikali ikataka kumnyang'anya uraia askofu Niwemugiza. Au mzee umeamua kujizima data. Labda mi ningekuuliza alichoongea ni sahihi au sio sahihi
 
Mkuu, we mwenyewe umethibitisha kwa maneno yako kuwa Magufuli alikuwa mtu asietenda haki, unasahau kuwa mama samia was part and parcel ya Magufuli kwahiyo wote ni wale wale which means ccm is a bunch of thugs running the country na wanatumia wapuuzi kama ninyi na maaskari haya ya division zero na 4 ili the same people wa uko zile zile waendelee ku loop kwenye uwongozi wa juu huku ninyi mkibaki machawa, mfano, mwinyi alikuwa raisi, mwanae nae raisi, kikwete alikuwa mbunge, mwanae na mkewe ambaye alikuwa first lady kawa mbunge wa kuteuliwaa na saivi wenza wa wastaafu wanalipwa mishahara, yan wanawake wa watu walokuwa maraisi wanalipwa posho sijui kwa kazi gani ?..Na yote hii ni kwasababu kila kitu nyie ni ni ndioo kama mazombie vile...nchi ina vijana wa hovyo sana hii
 
Wanaukumbi.

Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.

Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.

Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .

Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.

Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Mwana ni wakotoliki hawa hawa walioandika waraka wakati wa magufuli mpaka raisi akataka kufuta kanisa na mapadre wengin wakanyanganywa passport? Ila watanzania ni kwamba tuna short memory span ?
 
we ni muislam wa wapi usiyejielewa kwa hiyo mambo yakiwa yanaenda ovyo watu watulie tu wasikemee kisa rais ni mwislam mwenzetu.Tume ya uchaguzi ya ovyo kutekwa kwa watu wanyamaze tu mzee Kibao aliuawa we kama mwislam ilifurahi? acha uchawa utakupeleka pabaya ndugu
 
Wanaukumbi.

Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.

Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.

Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .

Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.

Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Je, wana point???
 
Nani anaharibu AMANI, anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka yeye au anayesema turudi mezani MFUMO wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa HAKI na KWELI?..Waliokamatwa kwa kudai HAKI wakiwepo viongozi wa vyama vya siasa waachiwe haraka bila Masharti” Askofu Pisa, Rais TEC
Je wanachokisema kipo sahihi ama laaaa tuanzie hapo
 
Hawa viongozi Wakatoliki hawana cha kupoteza hawa hawana familia hawa na hawana watoto tunavoaminishwa!! Na kama huyu Bwana ashazidi miaka 60 sasa yeye hata amani ikiharibika ana hasara gani! Hana mke na hana mtoto wala mjukuu!!
 
Wanaukumbi.

Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.

Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.

Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .

Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.

Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Rais akiwa mkatoliki wanautaratibu wao wa kumshauri huko kanisani.
 
Back
Top Bottom