Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnasema sana

Wanaukumbi.

Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.

Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.

Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .

Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.

Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Mimi ni Muslim ila wewe brother unaleta vioja, hili ni tamko la TEC wakati wa magufuli.
 
Attachments

  • 6E46CDA2-C765-45B2-AC3F-88887C4FEA0A.jpeg
    6E46CDA2-C765-45B2-AC3F-88887C4FEA0A.jpeg
    133.2 KB · Views: 27

Attachments

  • 6E46CDA2-C765-45B2-AC3F-88887C4FEA0A.jpeg
    6E46CDA2-C765-45B2-AC3F-88887C4FEA0A.jpeg
    133.2 KB · Views: 25
Una miaka mingapi dogo magufuli alisemwa sana na hao maaskofu wengine hadi wakaambiwa sio raia
Wanaukumbi.

Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.

Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.

Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .

Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.

Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawa
 
wameacha kuhubiri injilli, wamekuwa na ibada za siasa, RC duniani kote ni kivuruge, na inahusika sana kusababisha machafuko ya siasa, ndani ya kanisa waumini wana political ideologies tofauti, ila mapadri/maaskofu wanawalazimisha ziheshimiwe ideologies zao.
RC ndani ya mfumo wao ni autocratic kama serikali za kijeshi, they are never democratic, halafu wanajifanya ni champions wa democracy
Safari hii cheap propaganda za CCM zitabuma.
 
Attachments

  • VID-20250421-WA0082.mp4
    12.2 MB
Wanaukumbi.

Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.

Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.

Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .

Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.

Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.

Go1AooyWkAAXLJB.jpeg

Bure kabisa!
 
Hoja ya kijinga kabisa , magufuli alipewa nyaraka nyingi pamoja na ukatoliki wake , nadhani hii sio hoja ya kuibeba ajenda ya TEC mnatia aibu tu
 
Tutoe risiti za TEC kwa Magufuli? Tena walikua wanampiga back to back na baadae yeye alivojificha Chato, askofu wa kule akamfungia hadi kanisa ambalo aliligeuza kua ndio platform yake ya kuhutubia taifa. Magufuli ni kijana wao, Magufuli kasomeshwa seminari, Magufuli ni Mkatoliki hasa. Prince, umesahau hili ambalo halina hata miaka 5 kaka? Interesting
 
Wanaukumbi.

Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.

Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.

Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .

Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.

Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Hoja ya kijinga kabisa , magufuli alipewa nyaraka nyingi pamoja na ukatoliki wake , nadhani hii sio hoja ya kuibeba ajenda ya TEC mnatia aibu tu.
 
Wakatoliki ni watu hatari sana na ni watu wa fitna sana.ukichunguza migogoro mingi ya kisiasa Afrika wao ndio sababu.mfano Mauwaji ya kimbari,Rwanda
Mfano mwingine wa hiyo migogoro ya kisiasa barani Afrika ni upi? Au hayo mauaji ya kimbari ndio "migogoro mingi"?
 
Wanaukumbi.

Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.

Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.

Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .

Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.

Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Dah braza unateseka sana aisee!

Kule Gaza unawatea magaidi wa hamas, hezbollah na houth wanapelekewa pumzi ya moto na akina Netapaka, huku bongo nako unawatetea sisiem na ufedhuli wa, mnapokea pumzi ya moto kutoka kwa water haki. Kote wewe ni kulialia tu, yaani ni unalia kitaifa na kimataifa!

Hii ndio inaitwa "born to suffer".
 
Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana.
Umeambiwa hata rais Magufuli mkatoliki mwenzao alilimwa waraka wa kukemewa kwa serikali yake. Je, umesahau au unajitoa ufahamu kaka?
 
Unao wa mwaka 2019 na 2020? Au walaka ulikuwa wa 2018 pekee?
Kama hakujua kuwa maasofu wanakemea bila kufwata Imani ya mtawala atajuaje ya 2019, na 2020?
Hoja ni Maaskofu hukemea yoyote bila kujali dini yake. wewe unaibua mambo ya frequency baada ya kuumbuliwa na uo waraka 2018😁😁😁
 
Wanaukumbi.

Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.

Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.

Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .

Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.

Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Kwahiyo ni unataka kusema uisilamu ni dini isiyopenda haki? Kinachopiganiwa ni haki wala sio udini. Nyie mnaosema hivyo ndo wading.
 
Wanaukumbi.

Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.

Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.

Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .

Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.

Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
mbona walimsema Magufuli Mkatoliki mwenzao?,kwani huyu ni special sana kwamba asisemwe?,kama hataki kusemwa si aachane na urais?
 
Back
Top Bottom