Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnasema sana

Kanisa halijawahi Kaa kimya hoja yako haina mashiko. 2018 ulikuwa hujazaliwa?
Soma sura ya 3 waraka huu 2018. Walivyomshukia muumini wao.
Unao wa mwaka 2019 na 2020? Au walaka ulikuwa wa 2018 pekee?
 
Wanaukumbi.

Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.

Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.

Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .

Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.

Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Yaani nyie makobazi hata mkisoma bado ni wajinga Sana, Mimi sio mkatoliki ila walishatoa waraka 2018 na hata maskofu wengine waliambiwa sio raia na walichachafya .Msipende kulalamika kila wakati this is inferiority complex
 
Maustaz mbona mna catch feeling kirahisi sana kama mna mimba changa?
Linda heshima yako nawe hutapata heshima, ukilinda uchafu nawe utachafuka.
 
Wacheni kulinganisha waraka na Ultimatum.Unaiamuru Serikali iwaachie wafungwa wote wa kisiasa tena bila masharti!
Nyie kama nani?Kesi ipo mahakamani unatoa tamko ambalo linaingilia uhuru wa mahakama.
Waraka wa 2018 lugha yake ilikuwa ya kushinikiza?
 
Ukitaka makara zako ziheshimike, Fanya tafiti kuliko kujiingiza kiushabiki na upofu wa historia.
Nilitaka kukuwekea waraka wa maaskofu katoliki, kumbe wameishakuwekea.
Askofu Niwemugizi (Tena wa Jimbo lake magufuri) alinyanganywa passport na kusingiziwa mkimbizi.
Askofu wa KKKT Karagwe akamyiwa vitimbwi vya kila aina. Yote hayo ilikuwa kwa sababu ya kukosolewa magufuri.
Jihadhari usiwe mdini, usiwe mkabira Wala kuendeshwa na mahaba ya uchawa.
walimkosea kaisari, unategemea nini?, alifanya sahihi kama kaisari, imeandikwa "Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na yaliyo ya Mungu mpeni Mungu"
 
Mauaji ya Rwanda ni ya kikabila dunia nzima inajua hivyo
Ya kikabila yalichochewa na Viongozi wa Roman Catholic.Na Maaskofu wengi wa kanisa hilo wameshtakiwa na kufungwa kwa kuchochea na kushiriki kwenye mauaji hayo ya Kimbari.
 
Wanaukumbi.

Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.

Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.

Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .

Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.

Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Hatamkisema maneno Gani, Samia Suruhu Hassan hapiti uchaguzi huu.
 
Ya kikabila yalichochewa na Viongozi wa Roman Catholic.Na Maaskofu wengi wa kanisa hilo wameshtakiwa na kufungwa kwa kuchochea na kushiriki kwenye mauaji hayo ya Kimbari.
Acha uongo vita ilikuwa kati ya hutu vs tutsi wakina kagame kamwe huwezi badilisha historia
 
Acha uongo vita ilikuwa kati ya hutu vs tutsi wakina kagame
Utakuwa ulikuwa hujazaliwa au unapinga ukweli ili ufiche maovu.Soma historia ya mauaji hayo ya Kimbari.Wacha kukariri.Maaskofu wengi wa kabila la Wahutu walio majority walishiriki katika kuchochea na kuhimiza watutsi wauwawe.
Hata Vatican iliomba radhi kwa kanisa hilo kushiriki katika mauaji hayo.Soma uelewe.
 
Usipende kujifariji kwa mambo ya uongo na uzushi inakuongezea nini kwa mfano

Watusi na wahutu tokea kipindi cha ukoloni walikuwa wanapingana ulishawahi jiuliza kwanini familia ya kagame ilikimbilia uganda miaka ya 1960's mwanzon acha uongo
 
Wanaukumbi.

Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.

Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.

Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .

Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.

Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Wakati Hayati John Magufuli anatofautiana na Askofu Severine Niwemugizi ulikuwa hujazaliwa eti?
 
Wanaukumbi.

Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.

Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.

Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .

Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.

Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Mkaoa kkuwa mwislam, Magufuli nae oia alkkuwa mwislam..
Maana kanisa halija wahi kukaa kimya Rais anapo jisahau kama huyu wa sasa. Acheni ujinga. Hii nchi ni yetu sote na sio familia ya Ccm
 
Changamoto ya ndugu zetu hata kama mtu ameenda shule na anautashi wa uchanganuzi mzuri, Akiisha ambiwa tu Muislam ndugu yake ni Muislam akili yote anaiweka mfukoni.

Hili hata halikuhitaji mjadala wa kupoteza muda Kiasi hichi labda ziwe ni Developed propaganda za Mifumo.
 
Wanaukumbi.

Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.

Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.

Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .

Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.

Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Kwa kuwa mizani imeegemea upande mmoja ambao unatoa upendeleo kwa CCM ndiyo maana utasikia sauti za watawala na vibaraka wake wakitoa shutuma na lugha za vitisho kwa kila yule ambaye anataka uzania unaosomeka sawq na wenye kutoa haki sawa bila ya upendeleo

Nyaraka na matamko mengi ya viongozi wa kidini hutolewa mara kwa mara.. Tena mengi huwa yamebeba ujumbe wa amani na utulivu, huwa yanawafurahisha sana watawala na vikaragosi wao kwa kuwa ujumbe huo huwa na lugha nyepesi yenye kukwepa dhana ya haki na uwajibikaji.

Lakini ujumbe kama huo ukitolewa huku ukibeba maudhui ya haki na uwajibikaji, watawala na vikaragosi hununa na kuanza kulalama. Tunatambua wasiwasi wa watawala endapo uwanja wa kisiasa utakuwa sawa kwa vyama vyote vyenye kutaka kushika dola.

Pia inafahamika vyema kuwa CDM ndiye mshindani mkubwq dhidi ya CCM. Hivyo kila hila na ghiriba inafanyika uli kuthibiti vyama vya upinzani. Njia pekee inayotumika kwa sasa ni kutumia njia za kiharamia kama hii ya kubambikia kesi zenye tuhuma nzito viongozi wa upinzani kama vile ugaidi na uhaini.

Unaweza kuwalaghai watu wachache kwa muda fulani, lakini kamwe huwezi kulaghai watu wengi kwa muda wote. Mabadiliko kamwe hayazuiliki, wakati ni sasa. NO REFORMS, NO ELECTION.
 
Mleta mada umepata akili lini?
Kanisa Katoliki lilishawahi kumkemea hata JK Nyerere.
Au ni mtoto wa 2000??
 
Tatizo ni njaa imevuruga ubongo wako, sio makosa ya catholic!
Wao wako sahihi kabisa, wanahubiri HAKI!
Haki

Haki ipi we Nyumbu ,umesahau kuwa hawa wanaharakati wanatafuta ajira kupitia SIASA?muulize Lema anavyotoa povu kisa ubunge tu baada ya kuonja ladha yake enzi hizo.
 
Kwa kuwa mizani imeegemea upande mmoja ambao unatoa upendeleo kwa CCM ndiyo maana utasikia sauti za watawala na vibaraka wake wakitoa shutuma na lugha za vitisho kwa kila yule ambaye anataka uzania unaosomeka sawq na wenye kutoa haki sawa bila ya upendeleo

Nyaraka na matamko mengi ya viongozi wa kidini hutolewa mara kwa mara.. Tena mengi huwa yamebeba ujumbe wa amani na utulivu, huwa yanawafurahisha sana watawala na vikaragosi wao kwa kuwa ujumbe huo huwa na lugha nyepesi yenye kukwepa dhana ya haki na uwajibikaji.

Lakini ujumbe kama huo ukitolewa huku ukibeba maudhui ya haki na uwajibikaji, watawala na vikaragosi hununa na kuanza kulalama. Tunatambua wasiwasi wa watawala endapo uwanja wa kisiasa utakuwa sawa kwa vyama vyote vyenye kutaka kushika dola.

Pia inafahamika vyema kuwa CDM ndiye mshindani mkubwq dhidi ya CCM. Hivyo kila hila na ghiriba inafanyika uli kuthibiti vyama vya upinzani. Njia pekee inayotumika kwa sasa ni kutumia njia za kiharamia kama hii ya kubambikia kesi zenye tuhuma nzito viongozi wa upinzani kama vile ugaidi na uhaini.

Unaweza kuwalaghai watu wachache kwa muda fulani, lakini kamwe huwezi kulaghai watu wengi kwa muda wote. Mabadiliko kamwe hayazuiliki, wakati ni sasa. NO REFORMS, NO ELECTION.
Ni ngumu sana kutofautisha Chadema na Kanisa.
 
Back
Top Bottom