Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
Katoro mji uliopo ndani ya Geita, Mangi alikuja hapa miaka 6 iliyopita leo nimefika tena kwakweli mji unakua kwa kasi, kama unamtaji wako mzuri na ulitegemea kuinvest lakezone bila shaka Katoro ndio penyewe! Kama upo Katoro .... karibu uweke ushuhuda wako hapa mmewezaje kuujenga mji kwa kasi mdani ya muda mfupi hivi....
Fursa alilizoziona mangi
Kwasasa kitu cha haraka haraka ni mzigo wa nguo za special...vifaa vya electronics...Hardware....kuuza pikipiki/Baiskeli au/na spare...saloon kubwa (executive Barbershop) ... nafaka kwasababu hawalimi sana...kampuni za ulinzi ..kuinstall cctv..electric fence..e.t.c...la mwisho ni kufungua Katoro Fm huku watu wanapenda sana radio
Wengine karibuni..