Lucas philipo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,039
- 2,676
Changamoto iliyopo n kwamba mji wa Buseresere umekuwa kama umemezwa na katoro ,,,lakn tunaweza sema city center pako vzr na n karbu na Katoro...pale kuna lile soko ,,pia biashara ya baiskel inalipa sana koz watu wa huko daladala zao m baiskel ,,,nkBuseresere vp
Lakni katoro ki ukweli inakuwa sana nenda mitaa ya Ludete ,luke Calfonia pia pale senta utakutana na matajiri kama kina Marase ,,,kuna soko la nguo utadhani uko Karume dar.....hotel zipo za maana kama ile Paradise ! Nk so karibun tu kuwekeza huko na kilomo pia kinalipa sana hasa mihogo na mahindi