Katoro ni Business center inayokua kwa kasi ya ajabu

Katoro ni Business center inayokua kwa kasi ya ajabu

acha kuleta mambo yako ya ki-local, Katoro centre inayokua? maduka yote yamejaa takataka za china na taiwan. sidhani kama kuna kitu naweza nunua pale zaidi ya nanasi na matikiti
 
Tafsiri huu msemo "Utajuta kuondoka"
Hapana sijawahi kujuta kuondoka mahali maana huwa nashukuru mungu ninapo pita mahali na kuondoka salama

Maana mikoa mingi nimepita sijawahi kujuta ninge juta nilivyo kuwa morogoro kilosa huko kulikuwa na fulsa ya kilimo na ufugaji
 
Back
Top Bottom