Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina mwenyeji hapo,naingiaje?Katoro wanajua kuutumia wenyeji wao kama huna mtu wakukupokea kufilisika ni kugusa tuu
Veep kuhusu biashara ya miamala ya mitandao ie mpesa, halopesa, airtel money, NMB, crdb inaenda hapo Katoro??Katoro mji uliopo ndani ya Geita, Mangi alikuja hapa miaka 6 iliyopita leo nimefika tena kwakweli mji unakua kwa kasi, kama unamtaji wako mzuri na ulitegemea kuinvest lakezone bila shaka Katoro ndio penyewe! Kama upo Katoro .... karibu uweke ushuhuda wako hapa mmewezaje kuujenga mji kwa kasi mdani ya muda mfupi hivi....
Fursa alilizoziona mangi
Kwasasa kitu cha haraka haraka ni mzigo wa nguo za special...vifaa vya electronics...Hardware....kuuza pikipiki/Baiskeli au/na spare...saloon kubwa (executive Barbershop) ... nafaka kwasababu hawalimi sana...kampuni za ulinzi ..kuinstall cctv..electric fence..e.t.c...la mwisho ni kufungua Katoro Fm huku watu wanapenda sana radio
Wengine karibuni..
View attachment 1091682
Inaenda Mkuu, Pale kuna wafanyabiashara wengi sana uhitaji wa transction Lazima uwe mkubwa, Naona kuna watu wachanganya hiyo biashara pamoja na biashara ya kuuza Simu na accesories zake kama Charger, SD Cards, USB Cables, Covers E.T.CVeep kuhusu biashara ya miamala ya mitandao ie mpesa, halopesa, airtel money, NMB, crdb inaenda hapo Katoro??
Sawa ngoja nijipange mkuu.Inaenda Mkuu, Pale kuna wafanyabiashara wengi sana uhitaji wa transction Lazima uwe mkubwa, Naona kuna watu wachanganya hiyo biashara pamoja na biashara ya kuuza Simu na accesories zake kama Charger, SD Cards, USB Cables, Covers E.T.C
Comment bora sana 👋Unawaza upande ambao sijafikiria kuwaza...huwa naangalia mambo chanya tu...
Sema ina kaeneo kadogo sana ambako ndio sphere of interest.Katoro ni pazuri sana kwa biashara ni eneo ambalo watu kutoka maeneo mbalimbali wanafuata bidhaa,after Mwanza na Kahama, Katoro ni next kwenye ukuaji Kanda ya ziwa, miji kama Bukoba, Kigoma, Nyakanazi, Runzewe, Biharamulo, Geita, Wafanyabiashara wake wanafuaata bidhaa katoro
Pamoja na uzuri wake kibiashara lakini ndiyo mji wenye huduma mbovu ya maji (wengi wanategemea maji ya visima), barabara ya lami ni moja tu(barabara kuu), vumbi la ule mji ni hatari, usalama pia ni mdogo, nyaya za umeme zinaning'inia kama kamba za kuanikia nguo vile, ufinyu wa vyakula, ufinyu wa maeneo ya starehe baada ya kazi... Tegemea kufanya biashara kwa kupata faida ndogo ndogo sana kulingana na ushindani, unless ujiingize kwenye madini ndiyo utoboe harakaKatoro ni pazuri sana kwa biashara ni eneo ambalo watu kutoka maeneo mbalimbali wanafuata bidhaa,after Mwanza na Kahama, Katoro ni next kwenye ukuaji Kanda ya ziwa, miji kama Bukoba, Kigoma, Nyakanazi, Runzewe, Biharamulo, Geita, Wafanyabiashara wake wanafuaata bidhaa katoro