Lucas philipo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,039
- 2,676
Changamoto iliyopo n kwamba mji wa Buseresere umekuwa kama umemezwa na katoro ,,,lakn tunaweza sema city center pako vzr na n karbu na Katoro...pale kuna lile soko ,,pia biashara ya baiskel inalipa sana koz watu wa huko daladala zao m baiskel ,,,nkBuseresere vp
Mkuu kwa Radio steshen n uwekezaji mzur sana pale katoro kwanza nadhani wana access na storm fm kama sikosei ya geita na sengerema fm tu kwa pale hamna labda na kahama fm lakn pale mjin katoro hakuna ...kingine kulima panafaa sana hasa kilimo cha mahindi koz watu wa huko wanatumia sana chakula hicho na pia mihogo inalipa sana mimi na experience na hiki kitu lakn pia kuna mnada wa Ng'ombe kule Ccm nadhan so n mji ambao chochote utakacho kuwekeza kitakulipaKwasasa kitu cha haraka haraka ni mzigo wa nguo za special...vifaa vya electronics...Hardware....kuuza pikipiki/Baiskeli au/na spare...saloon kubwa (executive Barbershop) ... nafaka kwasababu hawalimi sana...kampuni za ulinzi ..kuinstall cctv..electric fence..e.t.c...la mwisho ni kufungua Katoro Fm huku watu wanapenda sana radio swali la kuwa na mtaji kiasi gani halijawahi kuwa jepesi kwangu!
Stamico ya machimboniOhh nimeshatembea mpaka rwagasa..bwanga na Stamico,Kesho nitaenda nyarugusu kisha tembo.. wapi nitakua nimepaacha ?
OK vizuri. Karibu umeitembelea yote. Lengo ni utalii wa migodi au kutafuta uwekezaji?.Ohh nimeshatembea mpaka rwagasa..bwanga na Stamico,Kesho nitaenda nyarugusu kisha tembo.. wapi nitakua nimepaacha ?
Ainisha vitu minavyotumika kuonesha mji unakuaacha kuleta mambo yako ya ki-local, Katoro centre inayokua? maduka yote yamejaa takataka za china na taiwan. sidhani kama kuna kitu naweza nunua pale zaidi ya nanasi na matikiti
Bed and breakfast classic chumbani kuanzia 30,000
Katoro kujenga ni kugusa tuu.
Mawe lori 1 60,000
Mchanga mlaini lori 50,000.
Changarawe 50,000.
Kokoto 180,000
Material za kununua kama sementi ndo gharama kidogo...18,000 hadi 19,500
Imepanda tena...Mimi leo nimenunua kwa 21000 simba cement
Kunafundi simu maarufu sana huwa anafata bizaa China unamufahamu?Karibuni jaman. fursa zipo tele..haswa electronics..
Kunafundi simu maarufu sana huwa anafata bizaa China unamufahamu?
Rwagasa au Rwamgasa? Au mi ndo nimechanganya, Usisahau kwenda Beda pia.Ohh nimeshatembea mpaka rwagasa..bwanga na Stamico,Kesho nitaenda nyarugusu kisha tembo.. wapi nitakua nimepaacha ?
Utakua sahihi maana majina mengine kuyamaster ni ngumu
Beda ipo wapi? Na nitegemee nini huko !?
Kwani Buselesele Si ndio hapo hapo Katoro ? Hakuna tofauti. Ukweli panakua Kwa haraka SanaHacha wajuvi waje..huko nitapatembelea kesho
Vp huko Rwamgasa hali ya biashara ikoje ukilinganisha na katoro na Geita MjinKatoro mji uliopo ndani ya Geita, Mangi alikuja hapa miaka 6 iliyopita leo nimefika tena kwakweli mji unakua kwa kasi, kama unamtaji wako mzuri na ulitegemea kuinvest lakezone bila shaka Katoro ndio penyewe! Kama upo Katoro .... karibu uweke ushuhuda wako hapa mmewezaje kuujenga mji kwa kasi mdani ya muda mfupi hivi....
Fursa alilizoziona mangi
Kwasasa kitu cha haraka haraka ni mzigo wa nguo za special...vifaa vya electronics...Hardware....kuuza pikipiki/Baiskeli au/na spare...saloon kubwa (executive Barbershop) ... nafaka kwasababu hawalimi sana...kampuni za ulinzi ..kuinstall cctv..electric fence..e.t.c...la mwisho ni kufungua Katoro Fm huku watu wanapenda sana radio
Wengine karibuni..
View attachment 1091682