Katoro ni Business center inayokua kwa kasi ya ajabu

Nilikuwa hapo mwaka jana, nilikutana na jamaa mmoja alihamia hapo kutoka musoma amefungua mgahawa opposite na kituo cha polisi anasema ela ipo na anajuta kuchelewa kuja katolo
 
Vp huko Rwamgasa hali ya biashara ikoje ukilinganisha na katoro na Geita Mjin
Rwamgasa ipo isolated sana...huko sanasana unahudumia wachimbaji wadogo wa hapo na wale wa huko stamico...so biashara sio kubwa kama katoro center
 
Shemeji angu alienda katoro miaka 10 iliyopita sasa HV ana miliki semi trailer na machimbo ya Dhahabu, watoto wake wawl wanasoma shule iliyokuwa ya pili Tanzania ACSEE results, na alienda that time akiwa hana kitu akafkia kuuza maji
 
kwaioo huko biashra zinaenda kuliko mwanza maana nina kesho ninasafir kwenda mwanza kutafuta frame ya biashara
 
Hivi mzunguko wa biashara unapimwaje?.Mahali popote mtu unapiga pesa endapo tu utaona fursa.
 
 
 
Nilishafika shinyanga kipindi cha nyuma sina uzofu na mikoa hiyo japo nina ndugu wengi huko..vipi biashara ya fast food inalipa huko..
 
kwaioo huko biashra zinaenda kuliko mwanza maana nina kesho ninasafir kwenda mwanza kutafuta frame ya biashara
karibu kijana, umefikia wapi na process zako..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…