katuni hii inakupa picha gani kuelekea uchaguzi mkuu

Unatuweka kwenye majaribu tu. Mchoraji mwenyewe sijamsikia siku mbili tatu hivi!
 
Mtu kajaa gorini, na refa akaimbiwa anasema hana nguvu ya kumtoa.
 
Picha inaonyesha kule CCM nafasi ya urais IMEJAAA ,hkn hata pakuingiza chcht Zaid yakee🤔🤔🤔🤔
 
Si ndiyo maana mnaambiwa uchaguzi uko palepale wakati wananchi ndiyo wenye mamlaka ya kuiweka serikali madarakani.
 
Hapo inaonesha bila mabadiliko hakuna uchaguzi(no reform no election)Sasa hapo utafungaje mpira wakati jitu limejaa mlango wote wa goli?.suluhisho ni no reform no election
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…