Katuni ya Masoud Kipanya inamaanisha nini?

Nabihu

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
294
Reaction score
110
Ndugu hii katuni inamaanisha nn?
20230308_085901.jpg
 
Hapo kuna ccm na chadema

Chadema ni mbwa ndo maana ana rangi ya kaki

Nyoka ni wa kijani ndo maana ana rangi ya kijani

Hapo ni kwamba nyoka(ccm) anafikiria kwamba hata nikimla huyu mbwa(chadema) aliekonda hatanisaidia chochote kwenye afya yangu ni bora nimuache aendelee kuwepo
 
matusi sasa hayo
 
Ujumbe mkubwa upo katika hii katuni. Unahitaji tu kufikiria kwa kutumia Ubongo/Akili. Na si Tumbo au Makalio.

Sisi wengine tukisema tunaitwa majina yote mabaya Duniani. Tunacheka. Maana akili za kuambiwa unatakiwa uchanganye na za kwako. Mi sijali.

Screenshot_2023-03-08-10-07-36-810_com.instagram.android~2.jpg
 
Hapo kuna ccm na chadema

Chadema ni mbwa ndo maana ana rangi ya kaki

Nyoka ni wa kijani ndo maana ana rangi ya kijani

Hapo ni kwamba nyoka(ccm) anafikiria kwamba hata nikimla huyu mbwa(chadema) aliekonda hatanisaidia chochote kwenye afya yangu ni bora nimuache aendelee kuwepo
Jicho la huyo nyoka umeliona...!?
 
Hapo kuna ccm na chadema

Chadema ni mbwa ndo maana ana rangi ya kaki

Nyoka ni wa kijani ndo maana ana rangi ya kijani

Hapo ni kwamba nyoka(ccm) anafikiria kwamba hata nikimla huyu mbwa(chadema) aliekonda hatanisaidia chochote kwenye afya yangu ni bora nimuache aendelee kuwepo
Mkia wa mbwa umeuona aliko uweka? Mbwa hufanya hivyo ili kujisarimisha anapohisi yuko hatarini!
 
Ila masoud karahisisha sana naona ameamua
Hapo kuchora na kuandika vimekuwa sawa kwenye picha

Yaani hata mtoto kaelewa na anataka hivyo kwa makusudi
 
Ccm imeimeza chadema ccm hilojoka kubwa alimaarufu CHATU (chadema imeingia mkenge? ngoja tuone)
 
Are you ready to be swallowed "mwanangu"?

FB_IMG_1678336696160.jpg

Am ready, swallow me If you can, it's up to you! Ok, let me do it quickly.

FB_IMG_1678336595232.jpg

"So delicious"
Am happy now, so that I can smile! Happy! Happy! Happy! NEXT........!(could be traps)

018100094042.JPG

Ooh my god.....! Ooh my god Hu! Hu! Hu!, (how can I vomit this it's terrible)
IMG-20230309-WA0033.jpg
 
Back
Top Bottom