Katuni ya Masoud Kipanya inamaanisha nini?

Katuni ya Masoud Kipanya inamaanisha nini?

Upinzani unafifia
Kwa maoni yangu....Upinzani una, na ina maana ya upinzani wa Sera na Hoja za sera hizo.

CCM ina sera na imezijengea hoja katika ilani yao.

CHADEMA wana listi ya mbinu za kufanya Uharakati. Haina Sera wala hoja.

Kwa nini usimezwe! ngaaa' mu!
 
Kipanya haya ni mawazo yake, he is at liberty to thik the way he thinks. Sawa na humu JF waliosema , tena wengi sana kuwa mawakili wa Chadema kuacha maswali ya dodoso kesi ya la akina Halima Mdee ni wazi kuwa jana 8/3/2023 wangelisamehewa na kuendelea kuwa wabunge. Jibu wamelipata jana! johnthebaptist
 
Kwisha habari yao...

Sasa hivi hawana tofauti na Prof wa Uchumi, au Rangi ya zambarau kamw sio Mzee Momose...

Una weza kutoa mifano kibao kushadihisha hili

Kifo cha mende, Chaliii. kwa sauti Prof wa Uchumi
Ingelikuwa ni chama kingine ndicho kimemwalika mwenyekiti wa ccm kwenye shughuli yao, hayo maneno sasa... Mfano ingelikuwa ni ACT, ila kwakuwa ni wao basi wanasems ni mbinu ya kisiasa.
 
Kipanya haya ni mawazo yake, he is at liberty to thik the way he thinks. Sawa na humu JF waliosema , tena wengi sana kuwa mawakili wa Chadema kuacha maswali ya dodoso kesi ya la akina Halima Mdee ni wazi kuwa jana 8/3/2023 wangelisamehewa na kuendelea kuwa wabunge. Jibu wamelipata jana! johnthebaptist
Kesi ya hao 19 ni ya uhaini wa chama, huwezi kuisamehe ki rahisi utakua umeweka precedent mbaya kwenye chama
 
Kesi ya hao 19 ni ya uhaini wa chama, huwezi kuisamehe ki rahisi utakua umeweka precedent mbaya kwenye chama
Wenzako walikuwa washaanza kujiandaa kisaikolojia kujustify msamaha, bahati nzuri haukutokea ila hata wakisamehewa bado utakuja na maneno ya kujustify huo msamaha.
Siasa ni kama imani hata ukiona picha ya mchungaji anazini utasema sio yeye mbona ana mkono wa baunsa.
 
Aliwahi kuitwa polisi kipindi chs mwendazake wala halikuwa jambo siri. Tofauti na wengine yeye hakutekwa aliitwa.
Sasa walizungumza nini na ni kwa sababu gani, haijawahi kuwekwa wazi.
Hiyo kawaida. Lakini uzushi ulioongezwa sio kabisa. Wabongo wajitahidi kuandika ukweli wa mambo bila kuongeza chunvi
 
Kwisha habari yao...

Sasa hivi hawana tofauti na Prof wa Uchumi, au Rangi ya zambarau kamw sio Mzee Momose...

Una weza kutoa mifano kibao kushadihisha hili

Kifo cha mende, Chaliii. kwa sauti Prof wa Uchumi
So Chadema ni baba yako au msemaji wako?
 
Hiyo kawaida. Lakini uzushi ulioongeza sio kabisa. Wabongo jitahidini kuandika ukweli wa mambo bila kuongeza chunvi
Wanaongeza kutokana na mazingira yanayokuwepo na mambo yaliyokuwa yanatokea. So ukiwapa picha wanamaliza
 
Back
Top Bottom