Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Upinzani ulikuwepo japo mwendazake aliupunguza kasi ila kwa kinachofanyika sasa ni kuufifisha kwa maridhiano, sioni mpinzani wa kuchuana vikali na SSH 2025.kumbe ulikuwepo upinzani na ile hoja kuwa hakuna upinzan ulishakufa unasemaje au unakufa mara nyingi nyingi.