MAKANGEMBUZI
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,670
- 7,655
Who is kipanya?
hayo ni maoni yake yeye na katuni zake!?
hayo ni maoni yake yeye na katuni zake!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kuyala machadema sasa linatabasamu tuKijani kama kijani[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2542573
[emoji23][emoji23][emoji23]Kina mmawiaRaia wa Tz wali msariti Mbowe kwa miezi 9 alio kaa jela bila mandamano au mgomo, hana jinsi bora aungane nao, raia wenyewe anao pigania hawaeleweki na ni waoga.
Anatokaje? Chatu mpaka anakumeza ameshakuvunjavunja!Lakini anatokea ubavuni huku mmezaji kalala
Joka Makengeza msaka madaraka!!Kijani kama kijani[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2542573
Acha basi!Wengi 'wanashabikia' tu hiyo ya kwanza! Hiyo ya pili waalaaa hawajishughurishi na 'athari' ya huo mkono uliojitokeza nje!
Kwa hiyo sasa ndio watapigania hiyo democrasia wakiwa ndani ya ccm?Inajidhirisha sasa kuna watanzania wengi walikuwa wanafurahia wapinzani wa avyo unizwa wakiwa wanapigania haki za kidemokrasia na za watu!
Ata Mimi Mkuu hii kitu imenitatiza sana,wanajua maana ya Maridhiano kweli?Haya sio maridhiano bali ni mmoja kakubali kuungana na watesi wake ili asiendelee kuteseka.......wanaoridhiana ni wale wanaotoshana nguvu na kuamua kuleta amani.......
Samia ana rundo la watu ndio wanamuongoza!kama CCM ilivyo jeshi la Samia, ukimuweza samia basi wengine ni "takataka",
Mbona alinunua wabunge na madiwani wa upinzani!? Alimshindwa mwamba mbowe na makamanda kadhaa wanaojitambuaMagufuli ndo alikuwa htaki ndo maana wakakimbia nchi
Wewe bhnaa!Wengi wameshindwa kuielewa katuni na tafsiri yake.
Kwa fikra za mwandishi, mbwa amejishusha kwenda kwa chatu kumwomba ammeze. Chatu naye hammezi, anaanza kwanza kutafakari. Kisha chatu akammeza mbwa. Lakini mbwa baadaye akamtoboa tumbo. Chatu akabaki kufurahia kuwa amemeza mbwa asijue kuwa tumbo lake limetobolewa.
Hata hivyo hizo ni fikra za mwandishi, si lazima zibebe ukweli wa kile kilichopo.
Hakutaka wakina mbowe wale weny misimamo wakati uleMbona alinunua wabunge na madiwani wa upinzani!? Alimshindwa mwamba mbowe na makamanda kadhaa wanaojitambua
Imeisha kwa kujisalimisha kwa ccm kwa jina la maridhianouvccm mlishapata sonona na mtaendelea kupata sonona mpaka akili mfe wajinga nyinyi, toka muanze kusema kwisha leo ni miaka mingapi ujinga mzigo.
Hivi chatu ili ammeze mbwa huwa kinatokea nini?Na Chatu ukishamtoboa umemmaliza