Katuni ya Masoud Kipanya inamaanisha nini?

Katuni ya Masoud Kipanya inamaanisha nini?

na sio mamayenu kuwa kamezwa etii kwa akili ya kawaida nani amemezwa au hao wafuas wa ccm wanapochora katuni mnajifariji waambien waitishe mikutano bas tuone nani kamezwa maana wananchi ndo waamuz.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unateseka sana
 
Raia wa Tz wali msariti Mbowe kwa miezi 9 alio kaa jela bila mandamano au mgomo, hana jinsi bora aungane nao, raia wenyewe anao pigania hawaeleweki na ni waoga.
Jana anamponda Magufuli wakati Mama mwenyewe kamtumia ndani miezi tisa.Unafiki wa Mbowe ni kiwango cha SGR![emoji1787][emoji1787]
 
Vipi upunde wa pili wa shilingi kukubali kuhudhuria mkutano wa mpinzani wako anaetaka kushika dola ? Nakukubali maombi yao hadharani?
 
Hapo vipi?
IMG-20230309-WA0049.jpg
 
Mkuu hebu fafanua vizuri, "Ni pesa Yako tu" Inamaana wanajiuza?
Kwani hujawahi kusikia wakilalamika kwamba jpm alikuwa anawanunua?

Sasa utanunua kisichojiuza?
 
Hoyo ni akili ndogo ni mnufaika wa Kayafa

Hiyo michoro inawakilisha ufinyu wa upeo na akili FUATA UPEPO

intelligence umebadilika...sio ile ya....

Chadema ni dude kubwa Duniani
Leo hii masoud ni mnufaika wa kayafa?

Kweli aliewaroga machadema ana zambi sana
 
Aisee ina maana Chadema wanaipeleka kuzimu CCM.
Haimezeki. Alijaribu kufanya hivyo mwendazake lakini ikamtoboa kwa kamfupa kadogo kaliko baki. Hako hako kamemfanya akafa na sasa mbwa mzima anafufuka na kuiangusha tena joka.
 
Tarehe 7 Machi 2023 Mchora katuni maarufu Masoud Kipanya amechora katuni mbili zinazofikirisha sana kutokana na matukio na upepo wa kisiasa hapa nchini, Masoud amechora katika ya kwanza ikionesha Joka kubwa la kijani kama linamrubuni hivi Mbwa na Mbwa anaonekana kutulia tuli aki-petiwapetiwa na Joka la kijani.

Ukiangalia vizuri Joka lina afya lakini ka-mbwa kamechokaaa. Na JOKA ANA RANGI KAMA ZA CHAMA FULANI NA MBWA VIVYO HIVYO ANA RANGI KAMA ZA CHAMA FULANI

Screenshot 2023-03-09 at 14.56.58.png

Katuni ya Pili inatuonesha tayari JOKA LA KIJANI LIMESHAMMEZA MBWA YULE NA SASA LIMELALA LIMETULIA TULI, NI KAMGUU TU KA MBWA KAMEBAKI KWA MBALI KANAONEKA.

Screenshot 2023-03-09 at 14.57.11.png


KWA MTAZAMO WAKO, KULINGANA NA HALI YA SASA YA SIASA, UNADHANI?
1. JOKA NI NANI?
2. MBWA NI NANI?
3. KWANINI JOKA LIMELALA BAADA LA MLO?
4. KWANINI MGUU WA MBWA UNAONEKANA BAADA KUMEZWA
 
Back
Top Bottom