Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nothing else CHADEMA miaka 800 sukuma Gang jealous
Alikamatwa maana alimchora jinsi alivyokuwa Mwizi.Masoud kuna kipindi aliwekwa kati na mwenda zake almanusura wamuweke kwenye kiroba. Alipotoka alikuwa mpole sana
Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
Massoud huyohuyo ndiye alimtuka Sam ampeleke maombi ya kuonana na mwendazake ila Machawa hawakufikisha ombi la Massoud! Ila Massoud alikuwa na kiu yakuonana na mwendazake ila sijui alikuwa na jambo gan akilitaka kukueleza.Masoud kuna kipindi aliwekwa kati na mwenda zake almanusura wamuweke kwenye kiroba. Alipotoka alikuwa mpole sana
Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
Ngumu kweli kweli.
Kuna chama cha ragi ya kijani kina tabia kama za chato kina kumeza ili chenyewe kiendelee kuishi bila upinzani........
Raia wa Tz wali msaliti Mbowe kwa miezi 9 alio kaa jela bila mandamano au mgomo, hana jinsi bora aungane nao, raia wenyewe anao pigania hawaeleweki na ni waoga.Haya sio maridhiano bali ni mmoja kakubali kuungana na watesi wake ili asiendelee kuteseka.......wanaoridhiana ni wale wanaotoshana nguvu na kuamua kuleta amani.......
Hata ukitaka kusema kale kambwa koko ni kama CHADEMAKatuni fikirishi...
Kwa maana hiyo hayo hayawezi kuwa maridhiano bali ni makabidhiano......Raia wa Tz walimsariti mbowe kwa miezi 9 alio kaa jela bila mandamano au mgomo, hana jinsi bora aungane nao raia wenyewe anao pigania hawaeleweke na ni waoga.
Acheni uzushi wa kipuuzi.Masoud kuna kipindi aliwekwa kati na mwenda zake almanusura wamuweke kwenye kiroba. Alipotoka alikuwa mpole sana
Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app