Katuni ya Masoud Kipanya inamaanisha nini?

Waza tena mzee
Baada ya kufa nyoka, anatokea nyoka mwingine anakwenda porini anachuma majani Fulani na kurudi nayo na kumnusisha nyoka yule, ghafula uhai unamrudia.

Nyoka wanajua majani yenye uwezo wa kurudisha uhai Kwa nyoka wenzao waliokufa.

Ulitaka niwaze hivyo kukufurahisha?
 
Ni kweli kabisaaa mbwa kwa chatu hafurukuti
Ebu jaribu kumuwekea nungunungu tuone kama chatu atameza
 
Ngumu kweli kweli.

Lkn inaonesha Kuna MTU haliwa Ili anyamaze watu waendelee Kupiga usingizi.

Baada ya kuliwa akaruhisiwa atoe kamkono tu KAWE kanapungiapungia
Kisha aliyekula anarudishwa nyuma kukagua aliyoyatenda, Maana miguu imeelekea nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…