Katuni ya Simpsons Ilitabiri Kamala kuwa Rais wa Kwanza wa Kike mwaka 2024 tunasuburi Utabiri Utimie

Baada ya Trump, Biden kashika miaka 4 akiwa na Kamala. Halafu hiyo Marekani inayoamini hivyo ni ya huko huko kwenu. Biden ndiye analaumiwa sasa hivi.
 
Inaonyesha atachukua nchi kutoka kwa Trump...Trump alitoka akaingia Biden, Biden atatoka atarudi Trump..baada ya hapo utabiri utatimia akiingia Hariss Baada ya muhula wa pili wa Trump
 
Baada ya Trump, Biden kashika miaka 4 akiwa na Kamala. Halafu hiyo Marekani inayoamini hivyo ni ya huko huko kwenu. Biden ndiye analaumiwa sasa hivi.
Uko Jimbo Gani mkuu?
Biden Hawezi kulaumiwa Na hajawahi kulaumiwa Niambie Biden kalaumiwa Wapi na nani?

Maana Obama alikuwa Democratic na Kamala ni Democratic na Biden ni Democratic..
Trump Ni Republican..

Republican wanailaumu Democratic na Democratic wanailaumu Republican
 
Okay
Ngoja nitafute!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…