Katuni ya Simpsons Ilitabiri Kamala kuwa Rais wa Kwanza wa Kike mwaka 2024 tunasuburi Utabiri Utimie

Fake Simpson
muda bado tabiri zenye options mbili tu yes or no ni rahisi sana, ni kusubiri mpaka muda utimie , hata kama itakuja kua mwaka elfu nne uko
 
Pole sana kwa kujiingiza chaka πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
wajipange tena.
#trump rais
 
Inaonyesha atachukua nchi kutoka kwa Trump...Trump alitoka akaingia Biden, Biden atatoka atarudi Trump..baada ya hapo utabiri utatimia akiingia Hariss Baada ya muhula wa pili wa Trump
Nakazia
 
Usibebwe na utoto wa
Kamala ndo mgombea urais zwazwa kupita wote katika historia ya Marekani!

Katika hilo [uzwazwa], anashindana na Trump.

Trump naye kichwani hamna kitu kabisa.

Viwango vya wagombea urais Marekani vimeshuka sana.
Kagombee wewe....
 
akaongoze kuzimu labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…