Katuni ya Simpsons Ilitabiri Kamala kuwa Rais wa Kwanza wa Kike mwaka 2024 tunasuburi Utabiri Utimie

Katuni ya Simpsons Ilitabiri Kamala kuwa Rais wa Kwanza wa Kike mwaka 2024 tunasuburi Utabiri Utimie

Nop Mtunzi alishafariki ila Zilizopo ni Zile zile..Yaani Ukipay attention kwenye Hizo Episode za zamani Unagundua kuwa Waliwahi kutabiri mpaka Mavazi na Muonekano
Mh. Kama itakuwa hivyo, basi dunia hii ina codes nyingi sana.

Maana katika cartoon hiyo kasikika hadi Trump akitajwa, wakati alikuwa hata hajafikiriwa kuja kuwa Rais!
 
Nchi imegawanyika Matajiri wanampenda Trump na watu wa hali ya chini na waamiaji wengi wako kwa Kamala
 
March, 19-2000. TV show THE SIMPSONS wali'release SEASON 11

S0 11, Episode ya 17 "BART TO THE FUTURE" ilionyesha RAIS mwanamke akiongoza USA 🇺🇸

Scenes zinaonesha characters waliopo sasa kina KAMALA, na TRUMP

Hmm! wanajarbu kutwambia nini?🤔

Yani Series ya mwaka aftisa mia huko wakaigiza mambo yanayotokea leo!!😳😳

Kuna kitu hakipo sawa, Ila Ipo siku hata kama nitakuwa nimekufa Kitakuwa wazi..

Waliwahi Kutabiri Pia URais wa Trump na Pia Urais wa Obama

View attachment 3141766
View attachment 3141767View attachment 3141769

KIPANDE CHA video hili hapa .. Na ikumbukwe Hii Series ni Miaka ya 1990s mpaka 2000
View attachment 3141772
kamala atakua rais miaka ya 2030
 
Kamala ndo mgombea urais zwazwa kupita wote katika historia ya Marekani!

Katika hilo [uzwazwa], anashindana na Trump.

Trump naye kichwani hamna kitu kabisa.

Viwango vya wagombea urais Marekani vimeshuka sana.
Ukipewa bendera utaweza?
 
Kutawala kuko huku Kwetu Africa na baadhi ya nchi duniani. Huko kwao Kuna Kiongozi na sio mtawala. Mtawala hukanyaga na/au kubadilisha katiba apendavyo.
Hivi Kikishinda Marekani huwa wanasema Chama Kinachotawala au chama Kinachoongoza??
 
Anza upya kusoma darasa la kwanza.Kuna walimu wazuri na wema kufundisha kiswahili.
Sasa hivi nimebakiza Miaka 7 nistaafu Unafikiri Naweza kurudi tena Darasa la Kwanza nikasome??

Hata hivyo Nahisi ni Mazingira niliyokulia na Maisha niliyolelewa so Katika kitu ambacho Mwenzako huwa Sijutii wala Kuona Aibu Ni jinsi Nilivyo..

I will not be defined by Others, I respect me, in every decision na kila kitu nachokifanya Na ndo maana Huwa Sina majuto maishani..
 
Hapana Mwaka Huwa hasemi!
Alipotabiri Kuhusu Corona hakusema Mwaka pia, Alipotabiri Kuhusu Obama hakusema mwaka , alipotabiri Kuhusu Ile ajali ya Bilionea kwenye Nyambizi ya Majini hakusema mwaka, Alipotabiri Kuhusu Trump Kushinda na Kampeni yake ya Maje america Great again hakusema Mwaka!

Alipotabiri kuhusu Perfomance ya Lady gaga hakutaja mwaka..
Ila kutokana na matukio Rangi ya mavazi na mfuatano wa matukio utagundua hasa ni lini..

Tafuta Hiyi series Ipo Mtandaoni na utajionea mwenywe
Fake news!! Most of them are edited, I wonder how mtu makini kama wewe unaweza potoshwa.
 
Angalia tu, kwa mfano, debate ya John Kennedy na Richard Nixon.

Wale jamaa vichwani walikuwa wazima sana, hususan Richard Nixon.
Na wanasema risk ya kutokea na machafuko baada ya uchaguzi huu wa kesho kutwa hapo ni kubwa hapo USA , almost analysts wote wanasema hivi .
So mjiandae na civil war ndani ya Marekani kwa mara ya pili tangia mwaka 1776 ,so wale mliopo humo mjiandae
Na hii ndio itakuwa mwanzo wa anguko la hili taifa , Marekani always itaangushwa na internal hostilities na chaos

Mark hii comment
 
Wanna bet $1,000.00?
 
Nop Mtunzi alishafariki ila Zilizopo ni Zile zile..Yaani Ukipay attention kwenye Hizo Episode za zamani Unagundua kuwa Waliwahi kutabiri mpaka Mavazi na Muonekano
Sio kutabiri mavazi, huyo mama ndio ameamua kwenda sambamba na dressing style ya huyo katuni.

Usifanye ionekane kuwa huyo mama hajui lolote kuhusu hiyo katuni
 
March, 19-2000. TV show THE SIMPSONS wali'release SEASON 11

S0 11, Episode ya 17 "BART TO THE FUTURE" ilionyesha RAIS mwanamke akiongoza USA 🇺🇸

Scenes zinaonesha characters waliopo sasa kina KAMALA, na TRUMP

Hmm! wanajarbu kutwambia nini?🤔

Yani Series ya mwaka aftisa mia huko wakaigiza mambo yanayotokea leo!!😳😳

Kuna kitu hakipo sawa, Ila Ipo siku hata kama nitakuwa nimekufa Kitakuwa wazi..

Waliwahi Kutabiri Pia URais wa Trump na Pia Urais wa Obama

View attachment 3141766
View attachment 3141767View attachment 3141769

KIPANDE CHA video hili hapa .. Na ikumbukwe Hii Series ni Miaka ya 1990s mpaka 2000
View attachment 3141772
Hivi Kamala ndio mama yake PDDY ?
 
Hivi Kamala ndio mama yake PDDY ?
Kamala Muhindi PDIDY mwafrika Msomali wapi na wapi 🤣🤣🤣🤣

umemuona Kamala na Mama Yake
20241103_155923.jpg
 
Back
Top Bottom