Katuni ya Simpsons Ilitabiri Kamala kuwa Rais wa Kwanza wa Kike mwaka 2024 tunasuburi Utabiri Utimie

Ndio maana wanaume wengine ni mashoga siku hizi.


Unakaa kabisa chini mwanaume mzima unaangalia katuni
Sasa Ushoga na Katuni Vinaingilianaje..

Mkuu Umejielekeza Vbaya kwenye Kujibu hoja Kwa kutumia Mihemko..

Angalia Vizuri huenda Inazungumziwa Mwaka 2028 baada ya Trump Reign Ndo atakuja Kamala
 
Katruni zimewaingiza watu cha city😂
🤣🤣🤣
Huenda Kamala Akauchukua After Trump lets wait mwaka 2028...
Maana baada ya Kuchunguza katuni kuna maneno yanasemwa Kuwa After trump the USA have Gone broke..
So lets wait kama mwaka 2028 kamala Hatachukua Nchi bhasi happ tutasema Katuni Imedanganya
 
Kwamba Trump atakufa au atashindwa kuendelea na urais ndipo mwanamke atashika kiti au!!?
 
Kwakuwa Cartoon Inamzungumzia Harris Kamala akiongelea Kushuka kwa uchumi wa Marekani baada ya Trump Kuongoza..

So My conspire Itakuwa Huenda Kamala Ni Rais anayefuata baada ya Trump
MKuu umefanya niende kwenye AI kuuliza,

Majibu niliyopata ni kwamba Episode imetaja imeonesha kwamba kuna raisi mwanamama atafata baada ya raisi mwenye jina la "trump" kupita na uchumi inabidi uwe umeenda vibaya.

Kwa nilivyoelewa utabiri bado upo wazi kwa miaka mingi. Wajanja sana hawa watunzi
 
Yeah Utabiri Bado Uko wapi na Una nafasi kubwa Ya Kutimia
 
Hiv katika list ya p.diddy kuna kiongozi wa marekani ambaye n mwanamke alitajwa kama nae yupo sijui ndiye huyu.
 
Hiv katika list ya p.diddy kuna kiongozi wa marekani ambaye n mwanamke alitajwa kama nae yupo sijui ndiye huyu.
Tafuta Nyimbo Inaitwa Famous ya Kanye West na Rihana Tafuta ile yenye Dakika Kumi Utawaona Wote wanaotajwa Humo na Wakiwa Hawana Nguo
 
Kamala aliiona hiyo Katuni ya Simpson na yeye akaanza kuvaa kama Katuni ili awe rais wa Marekani🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…