Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Ndio maana wanaume wengine ni mashoga siku hizi.
Unakaa kabisa chini mwanaume mzima unaangalia katuni
Unakaa kabisa chini mwanaume mzima unaangalia katuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakuwa Cartoon Inamzungumzia Harris Kamala akiongelea Kushuka kwa uchumi wa Marekani baada ya Trump Kuongoza..Vipi mkuu una maoni gani baada ya aliyetabiriwa kupigwa kipigo cha mbwa mwizi
Nimejielekeza Vbaya sio 🤣🤣Pole sana kwa kujiingiza chaka 😀 😀 😀
🤣🤣🤣🙌🙌🙌Wazee WA vikatuni, SAMALEKO😀
🤣🤣🤣Punguzeni kuangalia katuni kwenye utu uzima.
Sasa Ushoga na Katuni Vinaingilianaje..Ndio maana wanaume wengine ni mashoga siku hizi.
Unakaa kabisa chini mwanaume mzima unaangalia katuni
🤣🤣🤣Katruni zimewaingiza watu cha city😂
Kwamba Trump atakufa au atashindwa kuendelea na urais ndipo mwanamke atashika kiti au!!?Hapana Mwaka Huwa hasemi!
Alipotabiri Kuhusu Corona hakusema Mwaka pia, Alipotabiri Kuhusu Obama hakusema mwaka , alipotabiri Kuhusu Ile ajali ya Bilionea kwenye Nyambizi ya Majini hakusema mwaka, Alipotabiri Kuhusu Trump Kushinda na Kampeni yake ya Maje america Great again hakusema Mwaka!
Alipotabiri kuhusu Perfomance ya Lady gaga hakutaja mwaka..
Ila kutokana na matukio Rangi ya mavazi na mfuatano wa matukio utagundua hasa ni lini..
Tafuta Hiyi series Ipo Mtandaoni na utajionea mwenywe
Nop anaweza akamaliza Muda wake maana muda wa Trump si Utaisha mwaka 2028 so Anaweza akashika Nchi mwaka huoKwamba Trump atakufa au atashindwa kuendelea na urais ndipo mwanamke atashika kiti au!!?
Let's wait and see... ingawa sidhani kama anaweza pewa second chance baada ya hiki kipigoKwakuwa Cartoon Inamzungumzia Harris Kamala akiongelea Kushuka kwa uchumi wa Marekani baada ya Trump Kuongoza..
So My conspire Itakuwa Huenda Kamala Ni Rais anayefuata baada ya Trump
MKuu umefanya niende kwenye AI kuuliza,Kwakuwa Cartoon Inamzungumzia Harris Kamala akiongelea Kushuka kwa uchumi wa Marekani baada ya Trump Kuongoza..
So My conspire Itakuwa Huenda Kamala Ni Rais anayefuata baada ya Trump
Ila mimi Niko Upande Wa Trump Siku zote Tangu mwanzoLet's wait and see... ingawa sidhani kama anaweza pewa second chance baada ya hiki kipigo
Yeah Utabiri Bado Uko wapi na Una nafasi kubwa Ya KutimiaMKuu umefanya niende kwenye AI kuuliza,
Majibu niliyopata ni kwamba Episode imetaja imeonesha kwamba kuna raisi mwanamama atafata baada ya raisi mwenye jina la "trump" kupita na uchumi inabidi uwe umeenda vibaya.
Kwa nilivyoelewa utabiri bado upo wazi kwa miaka mingi. Wajanja sana hawa watunzi
Tafuta Nyimbo Inaitwa Famous ya Kanye West na Rihana Tafuta ile yenye Dakika Kumi Utawaona Wote wanaotajwa Humo na Wakiwa Hawana NguoHiv katika list ya p.diddy kuna kiongozi wa marekani ambaye n mwanamke alitajwa kama nae yupo sijui ndiye huyu.
Kwani walisema ni mwaka upi utakuwa na raisi mwanamke? Kama hawajasema basi Haiwezi kufeli labda asitokee raisi mwanamke mpaka mwisho wa taifa la marekani.Imefeli.
Duh unampenda sana Thomson wewe naona ushahamisha magoli🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Lakini Ukisikiliza unakuta ni After Trump Reign so Inaweza kuwa ni 2028
Mimi ni Team Trump Since Day one Fuatilia Hata Nimewahi kujibishana na Mgu kuhusu Ushindi wa Trump humuDuh unampenda sana Thomson wewe naona ushahamisha magoli
Kamala aliiona hiyo Katuni ya Simpson na yeye akaanza kuvaa kama Katuni ili awe rais wa Marekani🤣🤣March, 19-2000. TV show THE SIMPSONS wali'release SEASON 11
S0 11, Episode ya 17 "BART TO THE FUTURE" ilionyesha RAIS mwanamke akiongoza USA 🇺🇸
Scenes zinaonesha characters waliopo sasa kina KAMALA, na TRUMP
Hmm! wanajarbu kutwambia nini?🤔
Yani Series ya mwaka aftisa mia huko wakaigiza mambo yanayotokea leo!!😳😳
Kuna kitu hakipo sawa, Ila Ipo siku hata kama nitakuwa nimekufa Kitakuwa wazi..
Waliwahi Kutabiri Pia URais wa Trump na Pia Urais wa Obama
View attachment 3141766
View attachment 3141767View attachment 3141769
KIPANDE CHA video hili hapa .. Na ikumbukwe Hii Series ni Miaka ya 1990s mpaka 2000
View attachment 3141772