Mbona una hasira hivyo mkuu, au kitumbua chako cha ccm unaoa kama vile katuni ya Masou inakimwagia mchanga? Relax bro hiyo ji katuni tu.Upuuzi mtupu,ccm haiwezi toka madarakani kwa kanituni za kipuuzi kama hizi,nendeni kwa wananchi mkauze Sera wananchi wawapime,unadhani tabiri uchwara za kipanya zina nafasi yotote katika kuingoa ccm?
Akili kubwa sana imetumika hapo.
Wengi wanaitazama hiyo katuni kujifurahisha... kuna ujumbe mzito sana na wenye kutafakarisha katika mchoro huo..
Naona mnajitekenya na kucheka nyinyi wenyewe huku ccm inazidi kuwaka moto.Hahahahhaha kuna mtu leo asubuhi amekumbushwa kutembea uchi daslama nzma hii...mwingine akojoe mpk tunduma. Never say never. Internet haisahau.
Mkuu subiri wana ccm wakushukie kama mwewe...
Jamani naomba muulize,hivi hii kazi ya kumuondoa huyu adui na mtesi wetu ccm ni ya wapinzani tu sisi wengine haituhusu?
Watu hamjaelewa hii katuni, ni kwamba kupitia mgogoro huu wa wana ccm unatoa nafasi kwa chadema kupata ushindi tatizo hawana hali wapo hoi taabani miguu yoote ni mibovu hivo hata fursa hii adhimu bado kwao kutimiza azma ya ushindi wao!!
Lubuuva kwani bado tu yupo?Kipanya hata angeutoa kabisa huo ukuta wa kijani bado huyo mpigaji hawezi kufunga.
Mnajua kwa nini hajamuonesha refa wala linesman?
Kule kwenye VAR mnamjua aliyepo?
Wakati ishazikwa?Mnajidanganya sana. Mungu atupe uzima tutarudi hapa 2021 na habari tofauti. Naiona CCM imara kuliko wakati wowote
Shirika La Wachochea Kuni Tanzania [SHIWAKUTA] Linapenda Kuwapongeza Wanachama Wake Kwa Kazi Kubwa Ya Kuchochea Moto Waliyoifanya Mpaka Sasa! Hata Hivyo Shirika Linawakumbusha Wanachama Wake Kutosahau Kuongeza Kuni Na Kuchochea Ili Moto Uwake Zaidi.
Diasporajay
Katibu Mwenezi SHIWAKUTA
Kwamba wananchi wanakipenda Sana chama tawala au?Upinzani kuchukua kiti cha uraisi labda vita vya tatu vya dunia kuisha
Ukabila na ukanda unatesa sana. Sasa kama ni kurudi kwenye uhalisia, mbona wamenikimbia goli? au ndo mgomo umeanzanini huko.
Akili kubwaWenye kijani wanagombna,goli lipo wazi,mpiga faulo ni kilema,akijipanga/kujitibu na kutumia nafasi vizuri anaweza akafunga,hvyo ili afunge anahitaji wenye kijani waendelee kugombana na wakati huo yeye mwenye ajitibu haraka,
Upuuzi mtupu,ccm haiwezi toka madarakani kwa kanituni za kipuuzi kama hizi,nendeni kwa wananchi mkauze Sera wananchi wawapime,unadhani tabiri uchwara za kipanya zina nafasi yotote katika kuingoa ccm?
Wewe empty skulled ni wa kubishana na kipanya?[emoji41]
Sasa CCM imenunuliwa na mtu kama Simba S.C ilivyo pokwa watu wanajali magoli tuCcm inarudi kwenye uhalisia wake baada ya kutekwa na familia fulani
Sasa CCM imenunuliwa na mtu kama Simba S.C ilivyo pokwa watu wanajali magoli tu
Chaduma hamuishi kujipa moyo,,enzi za lowasa mlijiapiza msipochukua nchi basi hamtachukua tena,na Mimi nawaambia kuwa chadema ikichukua nchi Mimi najitoa mhanga kwenda kunyea ikulu liwalo na liwe.endeleeni kuota.