Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Upuuzi mtupu,ccm haiwezi toka madarakani kwa kanituni za kipuuzi kama hizi,nendeni kwa wananchi mkauze Sera wananchi wawapime,unadhani tabiri uchwara za kipanya zina nafasi yotote katika kuingoa ccm?
Mbona una hasira hivyo mkuu, au kitumbua chako cha ccm unaoa kama vile katuni ya Masou inakimwagia mchanga? Relax bro hiyo ji katuni tu.
 
Hahahahhaha kuna mtu leo asubuhi amekumbushwa kutembea uchi daslama nzma hii...mwingine akojoe mpk tunduma. Never say never. Internet haisahau.
Naona mnajitekenya na kucheka nyinyi wenyewe huku ccm inazidi kuwaka moto.
Subirini wapinzani wachukue nchi muone jinsi ya kutawala siyo nyinyi mnaigeuza nchi kama mali yenu na familia zenu
 
Wale wanao vaa mavazi ya kijani hasa wakulima na watumishi walio kwisha dhurumiwa haki zao wapo tayari kujiunga na wapenda mageuzi ila wanafanya hivyo kwa usiri mkubwa
Jamani naomba muulize,hivi hii kazi ya kumuondoa huyu adui na mtesi wetu ccm ni ya wapinzani tu sisi wengine haituhusu?
 
Bado haiondoa huyo aliye hoi kufanya maajabu ya kupiga penalt kwa kichwa
Watu hamjaelewa hii katuni, ni kwamba kupitia mgogoro huu wa wana ccm unatoa nafasi kwa chadema kupata ushindi tatizo hawana hali wapo hoi taabani miguu yoote ni mibovu hivo hata fursa hii adhimu bado kwao kutimiza azma ya ushindi wao!!
 
Kipanya hata angeutoa kabisa huo ukuta wa kijani bado huyo mpigaji hawezi kufunga.

Mnajua kwa nini hajamuonesha refa wala linesman?

Kule kwenye VAR mnamjua aliyepo?
Lubuuva kwani bado tu yupo?
 
Goli haina tu kushinda urais bali ina gain momentum. Katika hali hii wanalamba dume na hivo wazipange karata vizuri
 
Bila kusahau na petrol
Shirika La Wachochea Kuni Tanzania [SHIWAKUTA] Linapenda Kuwapongeza Wanachama Wake Kwa Kazi Kubwa Ya Kuchochea Moto Waliyoifanya Mpaka Sasa! Hata Hivyo Shirika Linawakumbusha Wanachama Wake Kutosahau Kuongeza Kuni Na Kuchochea Ili Moto Uwake Zaidi.

Diasporajay

Katibu Mwenezi SHIWAKUTA
 
Upinzani kuchukua kiti cha uraisi labda vita vya tatu vya dunia kuisha
Kwamba wananchi wanakipenda Sana chama tawala au?
(MIMI NILIKUWA NAAMINI CCM WOTE LAO MOJA KAJA MAGUFULI NIMEONA TOFAUTI)
 
Hapo ni kuwa wana ccm wameamua kumuwachia mwenye chama maana wamechoka na yanayotokea chini yake
Ukabila na ukanda unatesa sana. Sasa kama ni kurudi kwenye uhalisia, mbona wamenikimbia goli? au ndo mgomo umeanzanini huko.
 
Wenye kijani wanagombna,goli lipo wazi,mpiga faulo ni kilema,akijipanga/kujitibu na kutumia nafasi vizuri anaweza akafunga,hvyo ili afunge anahitaji wenye kijani waendelee kugombana na wakati huo yeye mwenye ajitibu haraka,
Akili kubwa
 
Watanzania wamechoka. Na kusipokuwa na uangalifu kwa ccm inaweza ikatokea kama kule Zambia. Kaunda hakuamini.
Upuuzi mtupu,ccm haiwezi toka madarakani kwa kanituni za kipuuzi kama hizi,nendeni kwa wananchi mkauze Sera wananchi wawapime,unadhani tabiri uchwara za kipanya zina nafasi yotote katika kuingoa ccm?
 
Pole sana. Kinachotokea sasa ni kile mlichopanda na kukipalilia wenyewe kwa kushangilia sana. Mlipanda upepo sasa mtavuna kimbunga.
Chaduma hamuishi kujipa moyo,,enzi za lowasa mlijiapiza msipochukua nchi basi hamtachukua tena,na Mimi nawaambia kuwa chadema ikichukua nchi Mimi najitoa mhanga kwenda kunyea ikulu liwalo na liwe.endeleeni kuota.
 
Watanzania hawaitaki kabisa CCM Mungu saidia litoke hili joka.

Poleni watumishi
 
Back
Top Bottom