uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,657
- 2,406
Wakati ule wabunge wengi wakiwa ni wa CCM mlijifariji hivyo hivyo,mlisema wapinzani hawawezi kupata hata jimbo moja.Naamini kuna kitu mlijifunzaUpuuzi mtupu,ccm haiwezi toka madarakani kwa kanituni za kipuuzi kama hizi,nendeni kwa wananchi mkauze Sera wananchi wawapime,unadhani tabiri uchwara za kipanya zina nafasi yotote katika kuingoa ccm?
Ngoma inapigwa Lumumba viuno vinakatwa Ufipa wacha niagize popcorn kuna watu wanabadilishiwa upepo bila kujua.Msanii Kipanya ameendelea kuzikonga nyoyo za wapenzi wa michoro hiyo hasa kipindi hiki ambacho ccm ipo kwenye sintofahamu ya kiuongozi.
Tafadhali tazameni hiyo picha chini hapoView attachment 1158779
Acha ajifariji. Chadema haitakaa ishinde Urais. Wakitaka kushinda basi wapinzani wote waungane watoe jina moja tu la mgombea.
Maana yake ni kuwa CCM imechoka ila wapinzani ni wagonjwa hawawezi kufanya chochoteMsanii Kipanya ameendelea kuzikonga nyoyo za wapenzi wa michoro hiyo hasa kipindi hiki ambacho ccm ipo kwenye sintofahamu ya kiuongozi.
Tafadhali tazameni hiyo picha chini hapoView attachment 1158779
Sina mme.what a Crap !!!!!!unamhudumia mme wako saa ngapi?
Mungu mbariki KipanyaMsanii Kipanya ameendelea kuzikonga nyoyo za wapenzi wa michoro hiyo hasa kipindi hiki ambacho ccm ipo kwenye sintofahamu ya kiuongozi.
Tafadhali tazameni hiyo picha chini hapoView attachment 1158779
weka akiba mkuuUpuuzi mtupu,ccm haiwezi toka madarakani kwa kanituni za kipuuzi kama hizi,nendeni kwa wananchi mkauze Sera wananchi wawapime,unadhani tabiri uchwara za kipanya zina nafasi yotote katika kuingoa ccm?
Hali ya mpiga penati umeiona vizuri lakini miguu yote mibovu labda apige kwa kichwa au mkono kama inaruhusiwa.Mbona kama wameamua kulikimbia goli na hapo mwana cdm anajipanga kupiga penati wakati lango lipo tupu?
Sina mme.what a Crap !!!!!!
What a Crap !kutokuwa na mme ndo upo kwenu? Nipo kwangu full kiyoyozi. Nimezungukwa na watoto wangu. Summer time full Ibiza.hujisikii vibaya wadogo zako wote wameolewa wako kwa waume zao wewe bado uko nyumbani?
What a Crap !kutokuwa na mme ndo upo kwenu? Nipo kwangu full kiyoyozi. Nimezungukwa na watoto wangu. Summer time full Ibiza.
Kichwa inawezekana maana ni sehemu ya mwili ukiondoa mikonoHali ya mpiga penati umeiona vizuri lakini miguu yote mibovu labda apige kwa kichwa au mkono kama inaruhusiwa.
Unategemea atasema nini wakati mtumbwi ndiyo unazidi kuzama?weka akiba mkuu
Wewe ndo unajifariji. Niliondoka kwetu at 18 yrs old. Leo nipo na 32 yrs.Unaedhania wote walio hawana mme basi wanaishi kwa wazazi wao. Again Crap Crap Crap ushuuuuuuuzi.kujifariji ni jambo zuri.
Mabeki wanagombana wameacha goli wazi.
Ccm inarudi kwenye uhalisia wake baada ya kutekwa na familia fulani
Msanii Kipanya ameendelea kuzikonga nyoyo za wapenzi wa michoro hiyo hasa kipindi hiki ambacho ccm ipo kwenye sintofahamu ya kiuongozi.
Tafadhali tazameni hiyo picha chini hapoView attachment 1158779
Wewe ndo unajifariji. Niliondoka kwetu at 18 yrs old. Leo nipo na 32 yrs.Unaedhania wote walio hawana mme basi wanaishi kwa wazazi wao. Again Crap Crap Crap ushuuuuuuuzi.