Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Upigaji wa penati ukiwaumefungwa POP ni mojawapo ya mada fikirishi.
unahitaji kujitoa ufahamu.upige shoot ufunge goli bila kujali kama utavunjika mguu kabisa au utapona.
 
Upuuzi mtupu,ccm haiwezi toka madarakani kwa kanituni za kipuuzi kama hizi,nendeni kwa wananchi mkauze Sera wananchi wawapime,unadhani tabiri uchwara za kipanya zina nafasi yotote katika kuingoa ccm?
Wakati ule wabunge wengi wakiwa ni wa CCM mlijifariji hivyo hivyo,mlisema wapinzani hawawezi kupata hata jimbo moja.Naamini kuna kitu mlijifunza
 
Msanii Kipanya ameendelea kuzikonga nyoyo za wapenzi wa michoro hiyo hasa kipindi hiki ambacho ccm ipo kwenye sintofahamu ya kiuongozi.

Tafadhali tazameni hiyo picha chini hapoView attachment 1158779
Ngoma inapigwa Lumumba viuno vinakatwa Ufipa wacha niagize popcorn kuna watu wanabadilishiwa upepo bila kujua.
 
Mbona kama wameamua kulikimbia goli na hapo mwana cdm anajipanga kupiga penati wakati lango lipo tupu?
Hali ya mpiga penati umeiona vizuri lakini miguu yote mibovu labda apige kwa kichwa au mkono kama inaruhusiwa.
 
Hali ya mpiga penati umeiona vizuri lakini miguu yote mibovu labda apige kwa kichwa au mkono kama inaruhusiwa.
Kichwa inawezekana maana ni sehemu ya mwili ukiondoa mikono
 
Huwezi kurudi kwenye uhalisia kwa kuongozwa na nduli, dikteta, kubwa la majizi, muongo, dhulmati, mtekaji, mtesaji na MUUAJI. Tia akili kichwani.

Ccm inarudi kwenye uhalisia wake baada ya kutekwa na familia fulani
 
Msanii Kipanya ameendelea kuzikonga nyoyo za wapenzi wa michoro hiyo hasa kipindi hiki ambacho ccm ipo kwenye sintofahamu ya kiuongozi.

Tafadhali tazameni hiyo picha chini hapoView attachment 1158779

Mbona wacezaji wa CCM ni wengi wakati wa chadema ni mmoja tu? Inamaana ccm itasimamisha wagombea wengi na chadema itasimamisha mgombea mmoja?
 
Wewe ndo unajifariji. Niliondoka kwetu at 18 yrs old. Leo nipo na 32 yrs.Unaedhania wote walio hawana mme basi wanaishi kwa wazazi wao. Again Crap Crap Crap ushuuuuuuuzi.

punguza, ujuaji, kujikweza ubishi, waliokuzalisha au mwanaume yoyote anaweza anaweza kupata huruma yakukuoa. fuata ushauri wangu. .
 
Back
Top Bottom