barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Wakati ule wabunge wengi wakiwa ni wa CCM mlijifariji hivyo hivyo,mlisema wapinzani hawawezi kupata hata jimbo moja.Naamini kuna kitu mlijifunza
Acha ajifariji. Chadema haitakaa ishinde Urais. Wakitaka kushinda basi wapinzani wote waungane watoe jina moja tu la mgombea.
Mbona wacezaji wa CCM ni wengi wakati wa chadema ni mmoja tu? Inamaana ccm itasimamisha wagombea wengi na chadema itasimamisha mgombea mmoja?
Unamaanisha waungane ili Kura zitoshe ama kuogopesha chama dola?
Maana zilitosha na matokeo yakapikwa....
Hiyo penati haina faida kama mpigaji wake hajiwezi. Ashakum si matusi,ni sawa na kufurahia mwanamke aliyevua nguo wakati urijali nao umegoma.Ndiyo hapo sasa je Lissu pamoja na kujeruhiwa mwili mzima ataweza kupiga mpira uingie gorini?
Yaani atakuwa na nguvu za kuufikisha mpira gorini?
Marope amesema sasa hivi hawezi kusema chochote ila muda ukitimia atasema yote!Juzi kina makamba na kinana walipost picha za chumba Masaki, waliiibia chadema kura zake za uraisi, chadema walishinda kwa kishindo
Sasa hivi wapo kidogo?
Wazuia goli wanarumbana lakini mfungaji hana cha kupigia ili ashinde,, sasa sijui ushindi huo ataupataje
Marope amesema sasa hivi hawezi kusema chochote ila muda ukitimia atasema yote!
Mfano huu hauna mahusiano na hiyo picha maana mpiga penalt hata kwa kichwa anaweza kupiga huo mpira na goli likaingiaHiyo penati haina faida kama mpigaji wake hajiwezi. Ashakum si matusi,ni sawa na kufurahia mwanamke aliyevua nguo wakati urijali nao umegoma.
Huyo demu hana lolote ni fuata upepo tuUnamaanisha waungane ili Kura zitoshe ama kuogopesha chama dola?
Maana zilitosha na matokeo yakapikwa....
Ila mpigaji ni majeruhi mwili mzimaMabeki wanagombana wameacha goli wazi.
π π π π πNgoma inapigwa Lumumba viuno vinakatwa Ufipa wacha niagize popcorn kuna watu wanabadilishiwa upepo bila kujua.
Wewe ndo unajifariji. Niliondoka kwetu at 18 yrs old. Leo nipo na 32 yrs.Unaedhania wote walio hawana mme basi wanaishi kwa wazazi wao. Again Crap Crap Crap ushuuuuuuuzi.
Wakiungana na kutoa mgombea mmoja ndo hakutakuwa na goli la mkono?Acha ajifariji. Chadema haitakaa ishinde Urais. Wakitaka kushinda basi wapinzani wote waungane watoe jina moja tu la mgombea.
Ila mpigaji ni majeruhi mwili mzima
Uzuri wa CCM wana uwezo wa kujipanga haraka na kuzuia mashambulizi golini lakini kwa hali iliyopo sasa nafikiri hekima na busara lazima zitawale
Maana yake CCM wanagombana wao kwa wao wameacha lango wazi.Msanii Kipanya ameendelea kuzikonga nyoyo za wapenzi wa michoro hiyo hasa kipindi hiki ambacho ccm ipo kwenye sintofahamu ya kiuongozi.
Tafadhali tazameni hiyo picha chini hapoView attachment 1158779