Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Acha ajifariji. Chadema haitakaa ishinde Urais. Wakitaka kushinda basi wapinzani wote waungane watoe jina moja tu la mgombea.

Unamaanisha waungane ili Kura zitoshe ama kuogopesha chama dola?

Maana zilitosha na matokeo yakapikwa....
 
Kuisoma picha huwa ni mtihani mgumu sana
Mbona wacezaji wa CCM ni wengi wakati wa chadema ni mmoja tu? Inamaana ccm itasimamisha wagombea wengi na chadema itasimamisha mgombea mmoja?
 
Wazuia goli wanarumbana lakini mfungaji hana cha kupigia ili ashinde,, sasa sijui ushindi huo ataupataje
 
Ndiyo hapo sasa je Lissu pamoja na kujeruhiwa mwili mzima ataweza kupiga mpira uingie gorini?
Yaani atakuwa na nguvu za kuufikisha mpira gorini?
Hiyo penati haina faida kama mpigaji wake hajiwezi. Ashakum si matusi,ni sawa na kufurahia mwanamke aliyevua nguo wakati urijali nao umegoma.
 
Juzi kina makamba na kinana walipost picha za chumba Masaki, waliiibia chadema kura zake za uraisi, chadema walishinda kwa kishindo
Marope amesema sasa hivi hawezi kusema chochote ila muda ukitimia atasema yote!
 
Hiyo penati haina faida kama mpigaji wake hajiwezi. Ashakum si matusi,ni sawa na kufurahia mwanamke aliyevua nguo wakati urijali nao umegoma.
Mfano huu hauna mahusiano na hiyo picha maana mpiga penalt hata kwa kichwa anaweza kupiga huo mpira na goli likaingia
 
Hata kwa kutumia miili yao wana ishi tu
Wewe ndo unajifariji. Niliondoka kwetu at 18 yrs old. Leo nipo na 32 yrs.Unaedhania wote walio hawana mme basi wanaishi kwa wazazi wao. Again Crap Crap Crap ushuuuuuuuzi.
 
Mkuu je,hali kama hii haijawahi kutokea ndani ya CCM?.Kama jibu ni ndio,nini kilifanyika kuokoa jahazi?
Uzuri wa CCM wana uwezo wa kujipanga haraka na kuzuia mashambulizi golini lakini kwa hali iliyopo sasa nafikiri hekima na busara lazima zitawale
 
Msanii Kipanya ameendelea kuzikonga nyoyo za wapenzi wa michoro hiyo hasa kipindi hiki ambacho ccm ipo kwenye sintofahamu ya kiuongozi.

Tafadhali tazameni hiyo picha chini hapoView attachment 1158779
Maana yake CCM wanagombana wao kwa wao wameacha lango wazi.

Chadema wana mpira lakini ni majeruhi yaani hawawezi kupiga mpira golini japokuwa hawakabwi.

Hapo wapinzani ni muda wao kuganga hayo majeraha wawe fiti wacheke na nyavu. Bila hivyo maanayake CCM watanyooshana wao kwa wao huku wameacha goli wazi lakini wapinzani hawawezi kipiga mpira ukafika golini(hawawezi kishinda) sababu ni vilema.
 
Back
Top Bottom