Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Msanii Kipanya ameendelea kuzikonga nyoyo za wapenzi wa michoro hiyo hasa kipindi hiki ambacho ccm ipo kwenye sintofahamu ya kiuongozi.

Tafadhali tazameni hiyo picha chini hapoView attachment 1158779
Anamaanisha kuwa goli lipo wazi, wao na nyavu, washindwe wao.

Je muda huu macho yao yapo katika mikakati ya ushindi au wapo bize na drama za CCM?

You be the judge!
 
Juzi kina makamba na kinana walipost picha za chumba Masaki, waliiibia chadema kura zake za uraisi, chadema walishinda kwa kishindo
Acha kukaririshwa wewe. Yaani picha ya chumba tu ndo kinakufanya uaminishwe kulikua na wizi wa kura? What if kama walitaka kuonyesha jinsi walivyopambana kulinda ushindi wa CCM. Maana msisahau wale vijana 8 wa Chadema waliokamatwa wamehack system za NEC ili Lowassa ashinde.
 
Mbona wacezaji wa CCM ni wengi wakati wa chadema ni mmoja tu? Inamaana ccm itasimamisha wagombea wengi na chadema itasimamisha mgombea mmoja?
Kwani penati inapigwa na watu wangapi!!??
 
Ccm waliiba sana kura vinginevyo cdm ingekuwa mshindi
 
Acha ajifariji. Chadema haitakaa ishinde Urais. Wakitaka kushinda basi wapinzani wote waungane watoe jina moja tu la mgombea.
Ila huyo aliyetengewa penalty bado hajapiga, swali anaweza?
Nionavyo mimi, ujumbe ni kuwa hakuna chama cha siasa cha kutusaidia watanzania kupata goli la ushindi- maisha bora endelevu kwa kila mtanzania wa sasa na ajaye.
 
Mkuu hapa ni jf wacha kuwa bubu sana
 
Kumbe tatizo letu ni Mbowe tu?
 
Mnatafsiri hovyo hii katuni. Chadema kavunjika miguu so mpaka ile timu nyingine watarudi golini kwao chadema wakiwa wanachechemea tu.
 
Hapo hakuna mpigaji , majamaa watazozana mwishowe watajipanga
 
Kuwekwa pembeni kwa waliokulia na kusoma sayansi ya siasa ni hatari kwa ustawi wa ccm. Muda utakapofika athari za wao kuwa nje zitawanufaisha upinzani.
 
Acha ajifariji. Chadema haitakaa ishinde Urais. Wakitaka kushinda basi wapinzani wote waungane watoe jina moja tu la mgombea.
Of which sidhani kama itatokea maana wanasiasa wa TZ wote ni wachumia tumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…