Angalia vizuri CCM inapigana yenye kupitia kivuli chake(mitafaruku ndani ya chama), wapinzani wamenyamazishwa na CCM halisi.View attachment 1243908
Dongo gizani.... Wasio na vyama wana nguvu ya kupambana na chama dolla kuliko chama kikuu cha upinzani...
Kiufupi chama cha upinzani cha buluu nyukundu na waiti kime nywea, kwisha habari.... Kupelekea chama dola kukosa mpinzani ktk vyma na kuelekeza nguvu kwa wapinzani wasio julikana
Umeingia chaka. hapo mtu anapigwa na kivuli chake mwenyewe.View attachment 1243908
Dongo gizani.... Wasio na vyama wana nguvu ya kupambana na chama dolla kuliko chama kikuu cha upinzani...
Kiufupi chama cha upinzani cha buluu nyukundu na waiti kime nywea, kwisha habari.... Kupelekea chama dola kukosa mpinzani ktk vyma na kuelekeza nguvu kwa wapinzani wasio julikana
Daaah AiseeeeView attachment 1243908
Dongo gizani.... Wasio na vyama wana nguvu ya kupambana na chama dolla kuliko chama kikuu cha upinzani...
Kiufupi chama cha upinzani cha buluu nyukundu na waiti kime nywea, kwisha habari.... Kupelekea chama dola kukosa mpinzani ktk vyma na kuelekeza nguvu kwa wapinzani wasio julikana
Kichwa kitupu halafu anataka kujifanya anamuelewa mwanafalsafa MasoudUmeingia chaka. hapo mtu anapigwa na kivuli chake mwenyewe.
Kivuli hicho kiashiria cha wasio julikana wasio onekama... Yaweza kuwa ndani ya chama au nje ya chama... Mfano wakina mange, Albert ngurumo, chahali, kigogo, hata wewe au wengi walio jificha JF na ktk platforms zingine na kupambana namna moja au nyingine na chama cha mapinduzi...Katuni kila moja anaielewa kwa mtazamo wake
Usitulazishe tukufuate wewe
Mimi ninavyoona hapo ni mafisadi yanadundwa ngumi
Acha kuwa kilaza huku unajiona.Katuni kila moja anaielewa kwa mtazamo wake
Usitulazishe tukufuate wewe
Mimi ninavyoona hapo ni mafisadi yanadundwa ngumi
Huku upinzani wamegeuka omba omba, wameweka na bakuli la kuomba pesa sio...?Katuni kila moja anaielewa kwa mtazamo wake
Usitulazishe tukufuate wewe
Mimi ninavyoona hapo ni mafisadi yanadundwa ngumi
Ina wezekana, waelekeze na hao wanao sema kivuli chake mwenyewe... Kuna watu wakisha guswa imani zao huwa hawataki tena kufikiri wana baki kuwa mazuzu...Amevunja upinzani sasa anapambana na asiyejulikana,isitoshe asiyejulikana ana nguvu kuliko wewe
Angalia pia mikononi mwa ccm (unaye muita ccm) na huyo kivuli chake...Mtoa mada hana akili hajui kuwa hicho ni kivuli cha ccm. Angalia miguuni kwa ccm
Ndo maana mliambiwa mkizuia shughuli halali za siasa mtatengeneza makundi yasiyo halali...oneni sasa mnavopambana kukanusha kuwa Rais hajafa, Chama halali kisingeweza kuzua hiyo taharuki...na mlivo wajinga mnashangilia, hamjui kuwa hilo dude jeusi laweza kupindua hata serikali!View attachment 1243908
Dongo gizani.... Wasio na vyama wana nguvu ya kupambana na chama dolla kuliko chama kikuu cha upinzani...
Kiufupi chama cha upinzani cha buluu, nyekundu na waiti kime nywea, kwisha habari.... Kupelekea chama dola kukosa mpinzani katika vyama na kuelekeza nguvu kwa wapinzani wasio julikana.
Nasubiri uchambuzi wako kiongozi... Nione uelewa wako hapa...Kichwa kitupu halafu anataka kujifanya anamuelewa mwanafalsafa Masoud