Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
Atleast umeeleweka... Je? Huyu omba omba mnyonge?Ndo maana mliambiwa mkizuia shughuli halali za siasa mtatengeneza makundi yasiyo halali...oneni sasa mnavombana kukanusha kuwa Rais hajafa, Chama halali kisingeweza kuzua hiyo taharuki...na mlivo wajinga mnashangilia, hamjui kuwa hilo dude jeusi laweza kupindua hata serikali!