Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

IMG_20191025_082751.jpg

Dongo gizani.... Wasio na vyama wana nguvu ya kupambana na chama dolla kuliko chama kikuu cha upinzani...

Kiufupi chama cha upinzani cha buluu, nyekundu na waiti kime nywea, kwisha habari.... Kupelekea chama dola kukosa mpinzani katika vyama na kuelekeza nguvu kwa wapinzani wasio julikana.
 
View attachment 1243908

Kiufupi chama cha upinzani cha buluu nyukundu na waiti kime nywea, kwisha habari.... Kupelekea chama dola kukosa mpinzani ktk vyma na kuelekeza nguvu kwa wapinzani wasio julikana
Angalia vizuri CCM inapigana yenye kupitia kivuli chake(mitafaruku ndani ya chama), wapinzani wamenyamazishwa na CCM halisi.
 
View attachment 1243908
Dongo gizani.... Wasio na vyama wana nguvu ya kupambana na chama dolla kuliko chama kikuu cha upinzani...

Kiufupi chama cha upinzani cha buluu nyukundu na waiti kime nywea, kwisha habari.... Kupelekea chama dola kukosa mpinzani ktk vyma na kuelekeza nguvu kwa wapinzani wasio julikana
Umeingia chaka. hapo mtu anapigwa na kivuli chake mwenyewe.
 
View attachment 1243908
Dongo gizani.... Wasio na vyama wana nguvu ya kupambana na chama dolla kuliko chama kikuu cha upinzani...

Kiufupi chama cha upinzani cha buluu nyukundu na waiti kime nywea, kwisha habari.... Kupelekea chama dola kukosa mpinzani ktk vyma na kuelekeza nguvu kwa wapinzani wasio julikana
Daaah Aiseeee
 
Katuni kila moja anaielewa kwa mtazamo wake
Usitulazishe tukufuate wewe

Mimi ninavyoona hapo ni mafisadi yanadundwa ngumi
Kivuli hicho kiashiria cha wasio julikana wasio onekama... Yaweza kuwa ndani ya chama au nje ya chama... Mfano wakina mange, Albert ngurumo, chahali, kigogo, hata wewe au wengi walio jificha JF na ktk platforms zingine na kupambana namna moja au nyingine na chama cha mapinduzi...

Ukiangalia kivuli kina rusha konde lakini mwenye kivuli ana pokea konde bila kurusha konde... Tafakari
 
Katuni kila moja anaielewa kwa mtazamo wake
Usitulazishe tukufuate wewe

Mimi ninavyoona hapo ni mafisadi yanadundwa ngumi
Huku upinzani wamegeuka omba omba, wameweka na bakuli la kuomba pesa sio...?
 
Katuni inaonesha CCM ikipambana na kivuli chake ambacho kimekuwa kikubwa kuliko chenyewe.
 
Amevunja upinzani sasa anapambana na asiyejulikana,isitoshe asiyejulikana ana nguvu kuliko wewe
Ina wezekana, waelekeze na hao wanao sema kivuli chake mwenyewe... Kuna watu wakisha guswa imani zao huwa hawataki tena kufikiri wana baki kuwa mazuzu...
 
View attachment 1243908
Dongo gizani.... Wasio na vyama wana nguvu ya kupambana na chama dolla kuliko chama kikuu cha upinzani...

Kiufupi chama cha upinzani cha buluu, nyekundu na waiti kime nywea, kwisha habari.... Kupelekea chama dola kukosa mpinzani katika vyama na kuelekeza nguvu kwa wapinzani wasio julikana.
Ndo maana mliambiwa mkizuia shughuli halali za siasa mtatengeneza makundi yasiyo halali...oneni sasa mnavopambana kukanusha kuwa Rais hajafa, Chama halali kisingeweza kuzua hiyo taharuki...na mlivo wajinga mnashangilia, hamjui kuwa hilo dude jeusi laweza kupindua hata serikali!
 
Back
Top Bottom