Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Atleast umeeleweka... Je? Huyu omba omba mnyonge?
 
Upinzani umekandamizwa kiasi cha kubaki kuwa ombaomba.

Chama tawala kinapambana na kivuli chake chenyewe, na mtifuano ni mzito makonde ya kivuli yameshaharibu kabisa uso wa chama.
 
Katuni kila moja anaielewa kwa mtazamo wake
Usitulazishe tukufuate wewe

Mimi ninavyoona hapo ni mafisadi yanadundwa ngumi
Alafu yamevaa nguo za chama cha mpira

Kweli wasikulazimishe kuelewa wanachoelewa wao!!
 
Waweza nyamazisha upinzani halali ukaamsha usojulikana hata unakotokea ambao ni mbaya zaidi kwako kwani waweza tokea ndani yako
 
Ndundi awali ilikuwa hivi
 
Kweli haya ni mahaba yaani buku 7 unashabikia hiyo hiyo katuni! aisee uelewa wako ni mdogo saaaaaana!
 
Lakini anae umia ni omba omba sio?

Angalizo:
CDM ina pokea jina jipya toka kwa KP kuwa Omba omba...
Whatever ....lakini asubuhi hii umetudhihrishia kuwa wewe ni mpum..vu mjinga!
 
Yaani chama tawala kinapambana na kivuli chake chenyewe na upinzani umebaki unaomba omba[emoji2][emoji2]
 
Nasubiri uchambuzi wako kiongozi... Nione uelewa wako hapa...
Wa kwako hujui ulipo, utatumia nini kupima wa kwangu? Picha iko dhahiri upinzani upo pembeni na jizi dume anapigana na kivuli chake, umeshindwa kuielewa utazielewa akili zangu kweli?

Tafuta tu kazi ingine. Hii ya kupotosha falsafa ngumu ya Masoud kwako ni nzito
 
Hamna fair play mmoja lazima apoteane believe me siasa ingekuw ya wazi kama kipindi cha msure j ccm wangepata tabu mnoo
 
Jitahidi kuelewa tena ! Ni ccm inapambana na kivuli chake, kumejitokeza kashfa za rushwa, upendeleo, na hata kuvurugika uchaguzi wa uteuzi (mambo yaliyosababisha Katibu mkuu atoe agizo la marejaeo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…