sio kweli!.
USA, UK, Spain, Germany, Japan, France, Greece etc hawana matatizo ya demokrasia ni mengine tu ya kiuchumi/kijamii sio demokrasia!!
Kusingekuwa na Demokrasia ni either UK angekuwa amejitoa tayari au angekataa kujitoa lakini sababu ya Demokrasia pana ndio unaona Mawaziri Wakuu wanajiuzuru na mpaka saa hii mchakato wa BREXIT unaendelea.Inategemea kwako Demokrasia maana yake nini, demokrasia ni neno pana sana na siyo tu swala la uchaguzi, labda nikuulize kwa nini kuna Brexit? Unaijua sababu yake ya msingi? Na unajua kwa nini baada ya watu kuamua kujitoa mpaka leo hii imeshindikana Uingereza kujitoa?
Acha kuchekesha jukwaa EU ina 'udikteta' gani kwa UK?.. Kumbe hujui hata sababu za BREXIT!!!!..Kwanza hakuna nchi isiyo na drmokrasia kila nchi ina drmokrasia kwa kiasi fulani.
Inaelekea unalewa zaidi kuhusu demokrasia ya Waingereza klk wao wenyewe, wamejitoa au walipigia kura kujitoa EU shauri ya ,,udiktetaβ wa EU, na Hays siyo maneno yangu.
Drmokrasia ni pana kuliko unavyodhania sina muda wa kutosha vinginevyo ningeelezea zaidi.
Mimi navyoielewa demokrasia ni pale mwenyekiti wa chama fulani kutawala miongo bila kuruhusu hata mwanachama yeyote kuchukua fom ya kugombea nafasi hiyo!Kusingekuwa na Demokrasia ni either UK angekuwa amejitoa tayari au angekataa kujitoa lakini sababu ya Demokrasia pana ndio unaona Mawaziri Wakuu wanajiuzuru na mpaka saa hii mchakato wa BREXIT unaendelea.
USA kusingekuwa na demokrasia basi Trump angepiga stop uchunguzi wa Mueller na hata hii process ya Impeachment Inquiry inayoendelea dhidi yake ingestopishwa!.
Hiyo ndio maana ya Demokrasia nayoiongelea mie ambayo kwa Afrika hakuna, huku Raisi anaamka na maamuzi ya mfukoni na hakuna wa kuyapinga!.
Haya niambie wewe Demokrasia ni nini!?..
je hayo mambo yapo UK na USA?...Mimi navyoielewa demokrasia ni pale mwenyekiti wa chama fulani kutawala miongo bila kuruhusu hata mwanachama yeyote kuchukua fom ya kugombea nafasi hiyo!
HApa sijaelewa maana ila yaiona nchi mama yangu imeshika pistol kwa mikono miwili inalenga miguu yake yenyewe, lakini suruali yake inakiraka
Huyu aking'atwa na huyo nng'e atamuachia mgombea adondoke