Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
sio kweli!.
USA, UK, Spain, Germany, Japan, France, Greece etc hawana matatizo ya demokrasia ni mengine tu ya kiuchumi/kijamii sio demokrasia!!
Inategemea kwako Demokrasia maana yake nini, demokrasia ni neno pana sana na siyo tu swala la uchaguzi, labda nikuulize kwa nini kuna Brexit? Unaijua sababu yake ya msingi? Na unajua kwa nini baada ya watu kuamua kujitoa mpaka leo hii imeshindikana Uingereza kujitoa?