Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

sio kweli!.
USA, UK, Spain, Germany, Japan, France, Greece etc hawana matatizo ya demokrasia ni mengine tu ya kiuchumi/kijamii sio demokrasia!!

Inategemea kwako Demokrasia maana yake nini, demokrasia ni neno pana sana na siyo tu swala la uchaguzi, labda nikuulize kwa nini kuna Brexit? Unaijua sababu yake ya msingi? Na unajua kwa nini baada ya watu kuamua kujitoa mpaka leo hii imeshindikana Uingereza kujitoa?
 
Kusingekuwa na Demokrasia ni either UK angekuwa amejitoa tayari au angekataa kujitoa lakini sababu ya Demokrasia pana ndio unaona Mawaziri Wakuu wanajiuzuru na mpaka saa hii mchakato wa BREXIT unaendelea.
USA kusingekuwa na demokrasia basi Trump angepiga stop uchunguzi wa Mueller na hata hii process ya Impeachment Inquiry inayoendelea dhidi yake ingestopishwa!.
Hiyo ndio maana ya Demokrasia nayoiongelea mie ambayo kwa Afrika hakuna, huku Raisi anaamka na maamuzi ya mfukoni na hakuna wa kuyapinga!.
Haya niambie wewe Demokrasia ni nini!?..
 
Wick, p

Kwanza hakuna nchi isiyo na drmokrasia kila nchi ina drmokrasia kwa kiasi fulani.
Inaelekea unalewa zaidi kuhusu demokrasia ya Waingereza klk wao wenyewe, wamejitoa au walipigia kura kujitoa EU shauri ya ,,udikteta” wa EU, na Hays siyo maneno yangu.

Drmokrasia ni pana kuliko unavyodhania sina muda wa kutosha vinginevyo ningeelezea zaidi.
 
Government of the people, for the people by the people. Mbona tunapipo wengi sana.
 
Kwanza hakuna nchi isiyo na drmokrasia kila nchi ina drmokrasia kwa kiasi fulani.
Inaelekea unalewa zaidi kuhusu demokrasia ya Waingereza klk wao wenyewe, wamejitoa au walipigia kura kujitoa EU shauri ya ,,udikteta” wa EU, na Hays siyo maneno yangu.

Drmokrasia ni pana kuliko unavyodhania sina muda wa kutosha vinginevyo ningeelezea zaidi.
Acha kuchekesha jukwaa EU ina 'udikteta' gani kwa UK?.. Kumbe hujui hata sababu za BREXIT!!!!..
UK kuna demokrasia pana sanaa!. Hiyo sababu yako ya udikteta iweke tuione hapa!.
Demokrasia ni pana kivipi?.. sio kwamba huna muda huna point!!..
 
Kusingekuwa na Demokrasia ni either UK angekuwa amejitoa tayari au angekataa kujitoa lakini sababu ya Demokrasia pana ndio unaona Mawaziri Wakuu wanajiuzuru na mpaka saa hii mchakato wa BREXIT unaendelea.
USA kusingekuwa na demokrasia basi Trump angepiga stop uchunguzi wa Mueller na hata hii process ya Impeachment Inquiry inayoendelea dhidi yake ingestopishwa!.
Hiyo ndio maana ya Demokrasia nayoiongelea mie ambayo kwa Afrika hakuna, huku Raisi anaamka na maamuzi ya mfukoni na hakuna wa kuyapinga!.
Haya niambie wewe Demokrasia ni nini!?..
Mimi navyoielewa demokrasia ni pale mwenyekiti wa chama fulani kutawala miongo bila kuruhusu hata mwanachama yeyote kuchukua fom ya kugombea nafasi hiyo!
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli. Openness na Democracy ni new theories za Development Economics. Hutaki hizo mambo ni kwamba umekubali kuwa nyuma ya maendeleo, baki kwenye medieval Era.
 
1601531272252.png
 
Back
Top Bottom