Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Mambo ni motooooooo[emoji95] [emoji95] [emoji95] [emoji95] [emoji95] [emoji95] [emoji95] [emoji95] [emoji95] [emoji95]
 
MSIMPE SIFA ZOTE YEYE...yeye ni mwanzilishi tu wa hiyo brand ya kipanya, lkn kuna ofc kabisa vijana wameajiriwa...ndo huwa wana brainstorm na kuchora, tena katuni nyingi then zinapigiwa kura kwenye group lao la whatsapp, masoud anaidhinisha. hana akili zozote kukuzidi ww mtoa mda.
 
Mkuu kama ndio hivyo basi umenifumbua macho, sikuwahi kulifahamu hilo..
 
Mmeshaanza figisu...masoud ameanza kuchora kipanya tangu enzi za "no internet" na ameendelea kubamba mpk leo
 
Labda nnikuulize Masoud ameanza kuchora katuni lini....???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…